Maji💦 → Kwa Ajili ya Figo!
Mayai 🥚→ Kwa Ajili ya Ubongo 🧠!
Carrots🥕 → Kwa Ajili ya Macho!
Nanasi 🍍→ Kwa Ajili ya Koo!
Cabbage 🥬 → Kwa Ajili ya Utumbo!
Tango 🥒 → Kwa Ajili ya Ngozi!
Tangawizi → Kwa Ajili ya Koo na Mapafu!
Parachichi & Nyanya 🥑 → Kwa Ajili ya Afya ya Moyo 🫀!
Mazoezi exercise🏋️ → Kwa Ajili ya Afya imara na Kinga Bora ya Mwili!
Mboga za Majani 🥦🫑 → Kwa Ajili ya Kuongeza Kinga yako ya Mwili.
Furaha 😆 → Kwa Ajili ya Afya yako ya Akili!
KuRepost 🔄 → Kwa Ajili ya Wengine!
It was great for me and @KigguddeD meeting and catching up with the @OSMGhana team exchanging ideas, experiences and insights around open mapping and open data.
What a lovely team, we spoke of inter-regional collaborations, skills and knowledge sharing to serve our communities
Klabu ya Simba leo imekabidhi msaada kwa ajili ya wahanga wa mafuriko na maporomoko huko Hanang, Manyara.
Akipokea misaada hiyo Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Dkt. Damas Ndumbaro aliishukuru klabu ya Simba kwa kutoa msaada huo.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, @salim_tryagain alisema, "Kwa niaba ya Rais wa heshima @moodewji, bodi, uongozi, wapenzi na wanachama wa Simba tunapenda kutoa pole nyingi kwa wahanga wa mafuriko na maporomoko huko Hanang. Wengi wa wahanga hawa ni wapenzi wa soka, na sisi kama klabu tunaungana nao kwenye kipindi hiki kigumu".
Tukio hilo lilihudhuriwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, @imani_kajula na Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo (BMT), Neema Msika. #WenyeNchi #NguvuMoja
Chongolo anatumia madaraka yake vibaya na anatumia ukatibu mkuu wa CCM kama ngao ya kufanya uhalifu.
Gari lake hili lilipopata ajali akiwa amelewa na kapakatana na malaya na kuharibu miundombinu ya daraja halikuwa na bima lakini anatumia madaraka yake ku manipulate mifumo ili alipwe gari jingine.
Alichokifanya ni kukata bima ya gari yake aliyosema ina thamani 196m TZS na akalipa 9m kama premium insurance ili alipwe na Jubilee Insurance. Bima inakatwaje baada ya hari kupata ajali? Toka lini?
Chongolo anakuwaje mhalifu wa kiwango hiki na bado anaendelea kuwa sehemu ya utawala tunaouheshimu sana? Chongolo anawezaje kuwa mtendaji mkuu wa chama kwa huu ushenzi anaoufanya kwenye mifumo ya nchi? Anachofanya Chongolo ni uhalifu
Chongolo anatumia wanawake mapicha ya 🍆 lake kama anatuma emoji yaani , kitahisi kabisa na ni mtu mwenye dhamana ya kiungozi! Tunawezaje kumvumilia mtu huyu? Tunaogopa uchawi wake au? Tunaogopa wizi wake anaofanya au? Huyu hana hadhi ya kuwa katibu nkuu wa hiki chama.
Tunaweka haya ili mjua hatujaachaga kuletewa "taarifa na mafaili ya watu" ila tumeamua kupumzika tu na tunampenda mama ILA ipo siku.
#KigogoMediaUpdates
JALI SEHEMU YA MWILI WAKO: KILA KITU SI CHA KIROHO*
1. *TUMBO* hujeruhiwa wakati huna kifungua kinywa asubuhi.
2. *FIGO* hujeruhiwa wakati hunywi hata glasi 10 za maji ndani ya masaa 24.
3. *KITUNZA NYONGO* hujeruhiwa wakati ambao hulali hadi saa 11 na hauamki mapema.
4. *UTUMBO MDOGO* hujeruhiwa unapokula chakula baridi na kichakavu.
5. *UTUMBO MAKUBWA* hujeruhiwa unapokula vyakula vya kukaanga na vikali zaidi.
6. *MAPAFU* hujeruhiwa unapovuta moshi wa sigara na kukaa katika mazingira machafu ya sigara.
7. *INI* hujeruhiwa unapokula vyakula vya kukaanga, vyenye kemikali (vikali).
8. *MOYO* hujeruhiwa unapokula mlo wako kwa chumvi na kolesteroli nyingi zaidi(mafuta ambayo siyo mazuri yanayoganda).
9. *KONGOSHO* huumia unapokula vitu vitamu kwa sababu ni vitamu kwenye kongosho pia hupatikana sukari.
10. *Macho* hujeruhiwa unapofanya kazi kwenye mwanga wa simu ya mkononi na skrini ya kompyuta gizani.
11. *Ubongo* unaumia unapoanza kuwaza mawazo hasi.
*Sehemu hizi zote hazipatikani sokoni. Kwa hivyo jitunze na weka viungo vyako vya mwili katika afya nzuri.*
#afrinutritional
Day 4 of Field Mapping with #FMTM and #ODK by @osm_Rwanda, today we are in Rugera Sector, Nyabihu District. Field mapping by local people is key to the future of #OpenMapping@hotosm
Malawi was experiencing the worst cholera epidemic in 20 years, so @MSF sent an emergency team and activated #MissingMaps. When cyclone Freddy hit in March, Map Malawi helped manage a new project on the @hotosm Tasking Manager.
Read how the data was used:
https://t.co/D7elnOX42S
Rais wa Marekani, Joe Biden ameilaani sheria mpya iliyotiwa saini na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni dhidi ya vitendo vya ushoga na kusema kuwa Marekani inaweza kuiwekea Uganda vikwazo huku akitoa wito wa sheria hiyo kufutwa mara moja.
Sheria hiyo mpya itawalazimu Watu wanaoshirki kwenye vitendo vya ushoga kutumikia hadi kifungo cha maisha jela.
Biden amesema ameliagiza Baraza la Usalama la Kitaifa la Ikulu ya Marekani kutathmini athari za sheria katika nyanja zote za ushirikiano wa Marekani na Uganda, ikiwa ni pamoja na uwezo wa Marekani kusitisha kutoa huduma za usalama chini ya Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kusaidia maambukizi ya UKIMWI (PEPFAR) na aina nyingine za msaada na uwekezaji.
Biden amesema Serikali yake itazingatia athari za sheria hiyo kama sehemu ya mapitio yake ya kustahiki kwa Uganda kwa Sheria ya Ukuaji na Fursa ya Afrika (AGOA), ambayo inatoa matibabu bila ushuru kwa bidhaa za nchi zilizoteuliwa za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara.
#MillardAyoUPDATES
Katonga River floods cut off the Kampala - Masaka highway.
See map of alternative route through Mpigi - Kanoni - Maddu - Ssembabule - Masaka and vice versa from Masaka - Kampala. @osmuganda#KatongaFloods
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam usiku huu tayari kwa kuanza ziara yake ya siku 3 Nchini Tanzania ambapo amepokelewa na Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango.
#MillardAyoUPDATES
Leo nimempokea Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam ambapo anaanza ziara yake nchini Tanzania.