BALOZI aliliona hili kwa kuwa alikuwa anazijua tabia za wanaccm wenzake akatusanua MAPEMA
NA sisi kama wananchi TULIKUBALIANA nae
THIS time hakuna MARIDHIANO na ccm
Hatuna cha kuongea nao tena hapa AGENDA watuachie NCHI yetu fullstop
Akaunti ya X (Twitter) ya Chadema iliyokuwa ikijulikana kama ChademaTz. Akaunti hii, ambayo kwa muda mrefu imekuwa chombo muhimu cha mawasiliano na taarifa za Chama, imechukuliwa na kuuzwa kinyume na taratibu na maadili ya Chama.
Taarifa zilizopo zinaonyesha kuwa aliyekuwa Afisa wa Chadema, Abdulkarim Muro, alihusika kuiuza kwa John Marwa, ambaye sasa anaitumia kupitia chombo chake kingine cha habari cha Royal Television.
Kwa kuzingatia hali hii, tunatoa wito kwa Abdulkarim Muro na John Marwa kurejesha akaunti hiyo kwa Chama ndani ya muda wa siku tatu kuanzia leo.
Iwapo watalazimika kupuuza wito huu, tutatangaza hatua ya pili ya kuchukua.
REPOST 200
@RahmaMwita Ww ndo mduwanzi na chama chako,mliambiwa msiingie kweny uchaguz Bila reforms nyie mkalazimisha kuingia kuisaidia CCM kuhalalisha uchafuz sasa kelele za nn?kaeni kimya nyie madalal.