“Akanyakua kofia yangu na Miwani, alafu akaniamuru nipande gari zile Pick Up, akaniambia panda hiyo gari, nikamwambia Afande siwezi sina mguu wa kupanda hapa, akaniambia, KAMA HUNA MGUU UMEKUJA KUTAFUTA NINI HAPA?” Lissu
Serikali thwalimu ya CCM kila inachogusa kinaanguka kwa laana yao ya kuua waTz.
Wale watoto wa Serengeti boys mmewatia gundu zenu tu, they were jus fine peke yao. Ninyi hata mjisafishe na maji ya Zamzam hamtakasiki😤
Tuacheni kudanganyana maisha ya sasa hivi kwa mwezi bila 2M-3M hutoboi unless uwe unaishi kama panyaa wazee
Mshahara wa 300k - 1M ni pesa ya kukufanya usife tu na njaa maisha yamepanda nani Magumu sanaa
Kingine hatuwezi kuwa sawa wote hujashika 1M ndomana unaona kubwa
Unajua kwanini milio imekuwa mingi kuhusu huo muswada pendekezwa huko USA?.
Watu washajaa kwenye mfumo maana muswada umependekezwa na democratic na Republic chama tawala na upinzani!!
Hapo ndo ile wanasema ugali moto, mboga moto, maji ya kunawa moto na maji ya kunywa moto! 😂😂
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amesema mradi wa uwanja wa mpira wa Arusha ulikadiriwa kugharimu TZS bilioni 187, lakini ulisainiwa kwa TZS bilioni 338.54, sawa na ongezeko la asilimia 81.