Man To Man Code:๐๐ฟ๐
Chukua Mayai Mawili Mabichi Ya Kienyeji, Pasulia Kwenye Kikombe/Glass Alafu Weka Maziwa Fresh Mpaka Kikombe Kikaribie Kujaa Alafu Koroga. Kunywa Chapu Bila Kusikilizia Ladha Yake Alafu Subiria Nusu Saa Kapige Mzigo.
Utakuja Kunishukuru
Mwanaume anaweza kukupenda ukiwa na kitu chochote.
Mwanamke anahitaji kuhisi salama na kitu fulani.
Ndiyo maana mwanaume anajenga kutoka chini.
Mwanamke anatafuta nyumba iliyokwisha jengwa.
Upendo wa mwanamke unaanza baada ya usalama.
Upendo wa mwanaume unaanza kabla ya chochote.
Hiyo ndiyo tofauti kubwa.
I love young couples, wanatembea wameshikana mikono, wanakula pamoja, outing mara kwa mara, shopping pamoja, wanaishi dunia yao, vipo happy vyenyewe ๐
@therealrigoh Hao viumbe wanaitwa Nordics ni viumbe warefu weupe na wana macho ya kungโaa mara nyingi trump alionekana akiwa na viumbe wa ajabu lkn ni AI ila hawa ni wa kweli na hiyo Ndio maana ya kuachwa kwa AI ili habari zituchanganye tusijue ipi ni Ai Na ipi na uhalisia