@Mylife_fun@spana_Konki Kwenye huo mtazamo wako unacalculate vipi loss au loss inatokeaje? Ukiwez kujib ilo bc utajua mshahara hauna loss wala profit ila loss na profit anafeel the owner or shareholders
@JamiiForums Polisi nao wanahitaji reform yan inakuaje wanasikiliza barca kutoka serikalini bila wao kufanya uchunguz na kuamua maamuzi yao kam taasisi huru? Au ni taasisi ya serikali?