Yaliyojiri mapema leo katika Uchaguzi wa Ndaki ya Insia (COHU) Chuo kikuu Cha Dar es Salaam.
Wanafunzi ambao ni viongozi wa Tume ya Uchaguzi Ndaki ya Insia na Ndaki ya uhandisi wamekamatwa na kupigwa vibaya na polisi.
TSNP tunawasiliana na @DarusoMlimani kupata taarifa zaidi.
#Fire Side Chat# #Public speaking#Nikiwa na mkurugenzi wa Compass Communication na mtaalam wa mawasiliano madam Maria Tseshai Sarungi# at Seed Space hall Victoria.@mwanamkenauongozi @msichanainitiative.
Daktari: Very sorry unaumwa!
Wewe: Sikubali hata kidogo
Daktari: vipimo vyote vimerudi positive, unaumwa
Wewe: Nasema wewe ni mwongo sana dokta. Na navua nguo kama kweli mi ni mgonjwa
[Daktari anakuangalia anatoka ]
Symptoms of our Nation #ChangeTanzania#TutaelewanaTu
#Fire Side Chat# #Public speaking#Nikiwa na mkurugenzi wa Compass Communication na mtaalam wa mawasiliano madam Maria Tseshai Sarungi# at Seed Space hall Victoria.@mwanamkenauongozi @msichanainitiative.
"Ufuatiliaji wa elimu unatakiwa uanze kwa wazazi kufuatilia maendeleo ya wanae kila siku na sio kufuatilia matokeo pekee" Maria Bashiru, Mwanafunzi Msimbazi Sekondari
#TujadiliElimuYetu
"Suala la kumlinda mtoto wa kike ni suala ambalo linahitaji ushirikiano wa kila mmoja wetu kuanzia kwenye familia, jamii inayomzunguka na serikali pia" @hellenito_sisya,Mwanafunzi UDSM
#TujadiliElimuYetu
"Serikali iandae mazingira bora kwa wanafunzi kuweza kutumia ujuzi wao kwa ajili ya taifa na sio kuwaacha tu" Goodluck, Mwanafunzi Makongo Sekondari
#TujadiliElimuYetu
Elimu yetu imeua vipaji, wavumbuzi, wagunduzi na imeshindwa kuwaendeleza kabisa. Mathalani wale waliotengeneza Gobole, Radio za mbao, umeme, mabomu ya kulipua Miamba na hata mafundi wa kada tofauti? Tuache ubiafsi na tuangalie Elimu kwa mapana.@TSNP_Wanafunzi
"Mijadala kuhusu elimu haikuanza Leo na haipaswi kuisha Leo bali unapaswa kuendelea mpaka pale tutakapopata muafaka wa kitaifa kuhusiana na elimu tunayoitaka"
#TujadiliElimuYetu
Tofauti ni kubwa sana! Na kwamfumo uliopo wa shule zetu za serikali,tutabaki kujiuliza sana kwanini shule nyingi binafsi ndio hua zinafanya vizuri kwenye kila nyanja ukilinganisha na wa shule zà serikali.
''Kwa sasa tunaendesha programu kadhaa ikiwemo Sauti ya Wanafunzi pia baadae mwaka huu tutaanzisha mradi wa uongozi kwa wanafunzi(Student leadership program)"@joseph_malekela#TujadiliElimuYetu