@Be_FrankSr Angalia rafiki zangu kisha linganisha na rafiki zako hasa ambao wanazunguka binti yangu,
Huwa nawaza wanachomfundisha ni nini zaidi ya umbea kunywa pombe na kupiga vimini,
@colminho10 @dizastavina @JituLaMtumba001 @PanAuthentik@Be_FrankSr@DenicFizzoh@SwahiliKid22@ringunger@DullahTheking2 Expansion to the hipper space nakaanga mawe yanaiva ma verse,
Unaweza zania ni complex ngwair ama utasema Langa reborn,
Material deep huku diver haendi nikama mufti aliyeramba haramu,
Tumeganda hata kope haiyumbi utasema ameganda sanamu.
@VentureB20@Be_FrankSr@amprincess9@DullahTheking2 Mbele ya mtoto anatukana kama pepo,
Anajua viungo vyote maana alishalala adi central,
Ninapomuona mtoto wetu huwa napata mateso,
Unataka tulee mtoto au Malaya wakesho.
@PanAuthentik@dizastavina Top shelf:
Tuko race yooh that's why we die fast,
Thinking of the next show singoji uni by pass,
Tunadate ma good honey ma fine a.s,
Hawaombi vocha ma doo flani wa high class,😁🙌