@FKihamu Mpira wenye kasi ulidunda mbele ya kipa Ahmada na hakuna kitu angefanya zaidi ya kuubabatiza tu mpira. Kipa bora kama Iker Casillas aliwahi fungwa na Juninho Pernambicano kwa style kama hii. Heshima kwa mpigaji na lawama kwa mabeki waliosinzia badala ya kufanya clearance.