Mgombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha @ACTwazalendo ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho Seif Sharif Hamad @SeifSharifHamad amechukua fomu ya Urais wa Zanzibar katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).
Harambe iliyoendeshwa na Rais Magufuli katika Misa Takatifu na uzinduzi wa Kanisa, Parokia ya Bikira Maria Imakulata, Ikulu Chamwino kwa ajili ya Ujenzi wa Msikiti wa Chamwino imepatikana zaidi ya Tsh milioni 48 pamoja na ahadi za vifaa vya Ujenzi.
"Nakumbuka nilipigiwa simu na mtu mmoja kutoka DSM, ni Muislamu lakini akatoa mchango Tsh. Mil 20 kwa ajili ya Kanisa hili. Nawashukuru Viongozi hawakula hizi fedha. Nawashukuru wajenzi wakiongozwa na Mkuu wa JKT, waliojenga Kanisa hili sio Wakristo tu"Rais @MagufuliJP
Msafara wa Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya @ACTwazalendo, Maalim @SeifSharifHamad, akiambatana na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, @BenMembe na mgombea-mwenza wake, Prof. Omar Fakih Hamad, ukitoka Uwanja wa Ndege kuelekea Ofisi za Uratibu za ACT, Pemba
Kocha Mkuu wa zamani wa club ya Yanga SC Mwinyi Zahera usiku huu ametangazwa kupitia kurasa za instagram za Gwambina FC ya Misungwi Mwanza kuwa ameungana nao, Zahera anarudi Tanzania kuungana na Gwambina timu ambayo itacheza Ligi Kuu Tazania bara 2020/21.
"Sisi kampeni zetu ni kujenga hoja, hatutukani mtu, tunajenga hoja, tunatizama hali halisi ya wananchi na tutatumia takwimu za Serikali. Hatutakuwa na kampeni za matusi na wakati mwingiune ukitoa hoja unaweza kuona ukweli unauma - Prof. Lipumba
Klabu ya Simba SC Tanzania imetangaza kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Ghana aliyekuwa anakipiga kwenye klabu ya Yanga sC msimu uliopita Bernard Morrison. https://t.co/3d3B8B18OS
MEMBE ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
Mgombea Urais wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ndugu Bernard Kamilius Membe leo tarehe 7, Agosti 2020 amechukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuriโฆ https://t.co/9mXKHN7Uor
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimempitisha mwanasiasa Tundu Lissu kuwa mgombea Urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu. https://t.co/6Uw9rN5H20
BERNARD MEMBE ATEULIWA KUWA MSHAURI MKUU WA ACT WAZALENDO.
Uteuzi huo umefanywa leo rasmi Aug 3,2020 na Kiongozi Mkuu wa Chama hicho Ndg Zitto Kabwe https://t.co/YlKEnvLP4B
Arsenal wanafanikiwa kutwaa kombe la #EmirateFACup baada ya kumchapa Chelsea kwenye fainali ya michuano hiyo.
FT: Arsenal 2-1 Chelsea
#EmiratesFACup#EmiratesFACupFinal https://t.co/ckQHqndg40
MALAWI YAIKAZIA KENYA AIRWAYS
Mamlaka ya anga nchini Malawi imekataa ombi la Kenya Airways kuanza safari nchini humo ikitaja sababu ni kuendelea na hatua za tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Covid-19
#MvumoTVonline https://t.co/tuEGATunBp
Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) imetangaza idadi ya wapiga kura zaidi ya Milioni 29.
Idadi hiyo ni ongezeko la asilimia 26 ya wapiga kura wapya ambao watapiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwenye vituoโฆ https://t.co/re3pyczKja
Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel amefanya kikao kazi na Watendaji wakuu wa Taasisi zilizochini ya Wizara ya Afya ikiwemo; MSD, TMDA, TFNC, NIMR, Wataalam wa Tiba Asili pamoja na Wakurugenzi wa Idara ya Tiba,โฆ https://t.co/vnKfdDjjEF
@Twitter Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Wananch CUF leo Julai 27, 2020 wamekutana jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwachagua Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Yanga SC imemfuta kazi kocha wake, Luc Eymael kuanzia leo Julai 27, 2020 kwa madai ya kutoa lugha isiyo ya kiungwana baada ya mchezo wa jana dhidi ya Lipuli FC.
#BREAKING: Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ametangaza kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa ambae amefariki wakati akiwa anapatiwa matibabu Hospitali Jijini Dar es salaam.
#RIPMzeeMkapa