@mTusiOriginal Labda,
Lakini alifanya kosa kwa kuruhusu akaunti za mangi kimambi kuzifunga.
Alifanya utafiti juu ya Kila ujumbe uliopo Kwenye hizo akaunti???
Sasa itamgharimu kuliko alivyofikiri.
@Oktoba29 Hizi ni siasa za maji taka kuna uncle kashusha nondo za Ukweli na uhakika.
Haya ni majitu yanabebeshwa mabango hata kuyasoma hawajayasoma.
Kusini na Wana manjozi Toka enzi za KAMBONA HADI NCHIMBI.
Walivyo wapumbavu watatafuta kukamata na huyu;Jamani ccm MJUMBE HAUAWI?
Kadri mnavyozidi kukaa na Dr. NCHIMBI;Ndivyo habari zake zinavuma zaidi mtaani,Wengi wanazidi kuvimba na kauli za CHUKI dhidi yenu zinaongezeka.
Kwanini wanatutendea hivi? Jambo la mmoja linageuka la wote.
We are moving;
We are moving to the land of freedom
However difficult the moment
However frustrating the time
Its not be long because truth crushed will rise again ,how long not long because lie will never live forever
Hii namba ni ya MUNGU mwenyewe, kama ni upendeleo TANZANIA MOLA KATUJALIA NEEMA KUBWA, Hasa TANGANYIKA.
Sujawahi ona mtu kama huyu anateswa gerezani, Kila akija mahakamani,amejaa AMANI isiyo ya kuigiliza.
Akiwa RAIS, NCHI itatulia na kustawi Sana.
TAL UTAKUWA HURU SOON!!
@lifeofmshaba Najiuliza Jeshi letu hizo kozi zenye mazoezi makali huwa ya Nini?
Ni MAANDALIZI ya kuja kulinda watawala dhalimu, wakandamizaji wa HAKI, walezi wa mfumo wa utekaji na Mauaji?
Wanajeshi waungwana na wapole,watiifu na waaminifu hata rasilimali zetu ziibiwe WAO WANATABASAMU TU.
TUNDU LISSU na JOHN HECHE ni Viongozi wenye Ujasiri Sana, tuko Pamoja nanyi mpaka kieleweke.
Mifumo dhalimu lazima ianguke.
Ndiposa tutaishi bila hofu makazini, majumbani na Mitaani
Ukifuata mafundisho au mashauri kama haya, siku Moja utajikuta umelala juu ya mtu huku umening'inia kaa popoπ€£π€£π€£π€£
KAA MBALI NA UPUUZI WA NAMNA HII.
ITAKUWA veama akilipwa mabilioni hayo, Na huo utakuwa ni Utambulisho mzuri na mkubwa Sana kwa habari za uozo uliotokea 29 Oct. 2025 na maovu mengine yanayoendelea kutokea mpaka Leo.
Nasikia dada yetu wa taifa amemshitaki Zuckerberg kwa kufuta account zake, si kwamba anataka fidia au anataka zirudishwe bali ni sababu gani walizifuta.
Mambo yako hadharani sasa, ππ
Dada @mangekimambi we waombe tu fidia unigeie hata kidogo mana hapa utalipwa mabilion π π
Mapema mama amekuwa RAIS,niliona mwelekeo unaviashiria vya kuleta shida kubwa mbeleni.
Nilikwambia Nape wee una harufu ya Kumcha MUNGU msaidieni Presedent acheni kumsifia tu.
CCM wanapuuza:-
~Hotuba
~Kalamu na
~Ushauri, hapa tumefika sbb ni wao.
IWE NJAA au KWELI YETU MACHO.
"Bado tunaomboleza. Ila ukiangalia serikali inaona hakuna kikubwa. Hata yale ya kuwa tuwe na siku ya kuomboleza husikii, wanaona ni kawaida tu. Majeraha tuliyopata kama taifa ni makubwa. Inaonekana wanataka kusema twende hivi itasahaulika. Mimi nasema HAPANA." - Joseph Warioba
Ndege wenye kufanana mabawa huruma Pamoja.
Ila watakuwa na muda mfupi wa ku - enjoy; siku zao zinahesabika, mbawa zao zitakosa manyoya Kisha woote watashindwa kuruka kabisa.
Na huo utakuwa mwisho wao wa KIBURI, UKATILI NA KUTESA WAPINZANI WAO NA WANANCHI PIA.
TUTAONA HAYA.
@VungaEl74 Anajiropokea ovyo kama mwenye tumbo la kuhara.
Damu za waliuwawa 29/10/2025 zinawalevya na kuwachanganya.
Haitatokea WAWE na utulivu kamwe; Na mpaka Mwaka huu uishe tutaona na kusikia mengi Sana.