@Mtanzafrika@MohoniaJoseph11 Sure now i can see, pamoja na mapungufu yote but still ccm is the best, na kamfumo kanakowabeba ni kupokezana kijiti hata kiunafiki tu. Sasa tella limeanza chadema watu hawataki kutoka madarakani.
@MariaSTsehai@SuluhuSamia Kuna namna ukifikiri kwa kina, wale wote waliotoswa na mjomba ipo siku shangazi atawatosa tu. Mjomba alikiwa na jicho la tatu
@godbless_lema Usilalamike toa way foward...JPM atleast alifanya kazi kubwa ya kuwafanya waogope kula hela ya serikali, Mama anakasirika sana ila maanuzi sasa hakuna kauli nzito ya kuwafanya wengine kesho wasiibe.
@swahilitimes Ameulizwa leo...tuliambiwa tanzania ni tajiri mbona tozo zinaongezeka? Anasema maisha yamebadilika watu wanataka maisha mazuri.......
Tuna bahari (bandali), utalii, madini, pamoja na ardhi......leo wanazungumzia kilimo cha umwagiliaji for real??... Yote heri
JINSI YA KUHACK WHATSAPP KUPITIA BLUETOOTH.
Wadukuzi wanaweza kutumia kipengele cha zamani cha Bluetooth kilichopo kwenye takriban kila simu ili kudukua ...
@CarolNdosi Hiyo katiba mpya...ni ya warioba au iliyochakachuliwa na bunge?. wanasiasa wanaharibu, raia wengi hawaelewi kipaumbele chao ni tume huru ya uchaguzi. Sijasikia wakiwa mstari wa mbele kutetea maslai mapana ya taifa na wananchi kwao ni TUME HURU YA UCHAGUZI na MAMLAKA YA RAIS