Hello kwa wenye uhitaji wa ginger shots
Nauza kichupa kimoja 1000/=
Zinasaidia kudetoxify mwili,kutoa mafuta machafu,kukata kitambi,wenye shoda ya constipation pia zinaupa ngozi mwonekano wa rangi moja yenye nuru ,kuongeza kinga ya mwili dhidi ya mafua na kikohozi๐๐พRT
Ndugu wateja naomben oda za mchele jamani ntakufa njaa mlivonyamaza. Kuna mchele wa 3000 na 3500 duka Dodoma mjini karibu na stand ya sgr. Naomben rt mteja anaeza akawepo kwenye timeline yako๐๐ฝ
@YcuL___ Bro to bro
Ukijifanya Una Roho ya mshumaa unamulikia wengine mwanga huku wewe unateketea utaishia Kutumika
Jifunze Kusema Sina, Hapana, Sio Kwa sasa
1/2
Na gari anasema yake coz title jina lake na ameenda police na huyo bwana ake kunishitaki nang'ang'ania gari yake , sasa nawaza niende Court au nipotezeee ushauri tafadhali, kwa anayejua sheria vizuri , nielekezeni taartibu plz natanguliza shukrani
#TajiriLaKihaya
Nenda mahakama ya talaka, hakuna mwanamke anayekuwa akiomba mapenzi yake yarudi Kama zamani-Wasiachane!
Wanawake wote wanaomba pesa.
Wanaume wako kwenye mapenzi, wanawake wako kwenye biashara.
Bepari samahani naomba msaada tafadhali mimi nilikuwa na mahusiano na demu tumekaa wote for 5yrs tukanunua gari but tukaandika jina lake coz nilikokuwa nafanya kazi ilikuwa jau kidogo , sasa demu nilisafiri kikazi for 7months, kumbe demu kapata bwana na narudi hayupo, na gari
#TajiriLaKihaya
Nenda mahakama ya talaka, hakuna mwanamke anayekuwa akiomba mapenzi yake yarudi Kama zamani-Wasiachane!
Wanawake wote wanaomba pesa.
Wanaume wako kwenye mapenzi, wanawake wako kwenye biashara.
@Egtone23@zed_officially Uko kazini kwenu hutaki watu wajue unachokimiliki ukaamua unwandike mtu wako wakati mchumba wako mtarajiwa, na mlikuwa mnaelewewana