@fintanjr_ Hata ningekuwa mimi. Watanzania tunawaachia wachache hii league afu mwishow3 tunawalaumu. Harakati za ukombozi si jambo la watu wachache. Wengine wanakimbia nchi. Kwanza lissu ni jembe risasi zote zile plus ukae jela over a year. Go Again #lissu
Body count si tu number ya kujisifia wazee. Body count ni record ya altars ulizogusa. Kila mtu ana background yake, ana battles zake, ana spirits zake. Ukimix na wao, unaingia kwenye hizo battles bila kujua.
Au nipunguze ushauri🤣