Bila kuathiri maazimio ya Kamati Kuu yatakayotolewa na Viongozi Wakuu wa Chama napenda kuwahakikishia Watanzania wote kuwa CHADEMA ni imara sana leo. Ni chama kilichojitoa kuikomboa Tanzania kutoka mikononi mwa Mamumiani wa CCM.
Somo la leo 7/7/2026 Maandamano ya Kiuchumi
1. Mgomo wa kiuchumi: Wananchi au wafanyabiashara kuamua kwa pamoja kutonunua, kutouza, au kutoshiriki katika shughuli za kiuchumi ili kutoa ujumbe au kushinikiza mabadiliko.
2. Mgomo wa wafanyabiashara: Wafanyabiashara kufunga biashara zao kama njia ya kuonyesha kutoridhishwa au kudai haki fulani.
3. Mgomo wa kufunga biashara: Biashara kufungwa kwa makusudi kwa muda kama ishara ya maandamano au shinikizo la kijamii.
4. Kususia kiuchumi: Wateja au wafanyabiashara kukataa kushiriki katika shughuli za kiuchumi na kukaa majumbani mwao!
5. Mgomo au kususia kushiriki sherehe za 7/7: Wananchi kutoshiriki kwenye sherehe muhimu ya kitaifa ya 7/7 kama njia ya kuonyesha msimamo wao/maandamamo yao!
Naomba wachumi wafanye tathmini ya kina ya madhara ya maandamano ya kiuchumi ya leo, ili kuelewa athari zake kiuchumi, ikiwemo athari kwa biashara, mzunguko wa fedha, ajira na uchumi wa taifa kwa ujumla.
Siku ambayo wafanyabiashara walitakiwa kutangaza biashara zao kitaifa na kimataifa
Ipo kimyaaaaa!
Ahsanteni sana Genz kwa huu ushindi na baada ya hapa tunakutana 8/8 hakuna kupoa, si wanasema walichaguliwa na wananchi?
MBEYA: Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutherani Tanzania (#KKKT), Steven Kimondo ametoa kauli hiyo Julai 4, 2026 alipokuwa kwenye mahojiano maalum na SasaLive.
Fuatilia zaidi https://t.co/Vurc3aySYE
#JamiiForums#Utawala#Demokrasia
MARA: Makamu Mwenyekiti wa #CHADEMA, John Heche, amesema hayo alipokuwa akitoa salamu za rambirambi katika msiba wa aliyekuwa dereva wake, Suez Maradufu, leo, Julai 5, 2026.
Fuatilia mjadala https://t.co/xQTaKyJe7N
#JamiiForums#JFSiasa#JFMatukio
@cw_pedro Huyu ndio kiongozi wetu wa watanganyika na heshima yake italisishwa kwa vizazi vyote vya wapenda haki na Jina lake litakuwa ni sehemu ya heshima ya kila familia inayopenda haki na kuliweka taifa kwenye njia ya ushindani wa hoja.
Samia Suluhu, utawala wako wa damu utakataliwa hadi dakika ya mwisho.
Naona maamdamano yameanza mapema—maana sio kwa mikarao hiyo mliyomwaga kila kona!
Na nguo mpya mmewanunulia.
Ni mwendo huu hadi unaenda jela au kuzimu!
MAANDAMANO SABASABA!
#Saba7#MO29
Halafu kuna mjinga fulani anadhani watu watatishwa na kauli za vitisho, magari ya deraya barabarani au kifo.
Ni hivi; vyombo vya dola ndani ya nchi vinapashwa kujua kuna baadhi ya Watanganyika wako hai lakini ni "maiti zinazotembea." Kwa yaliyowapata wapo tayari kwa lolote.