@RollandCruz5@HecheJohn Kwa dhahabu iliyo kanda ya ziwa tuu bila kingine chochote hii itawezekana kabisa na zaidi๐๐ ..kupanga ni kuchagua.!!..Case closed.
@HecheJohn Kilichofuata akasema
Mea kulpa
Mea kulpa
Mea maxima kulpa....akasahau kwamba..."Mungu hadhihakiwi,apandacho mtu ndicho avunacho"....Neno la Bwana.๐๐
@Evans6875643274@PMadeleka Mwandosya tena mkuu!!!? Kwani Moses siyo mshua wake mwamba??๐๐๐๐๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ
@PMadeleka Subiri apate ubunge sasa๐๐...atapita kwa kukanyaga juu ya makalio ya wake za hao wazee anaowanyeyekea as if anapita kwa red carpet. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
@IAMartin_@TunduALissu Ila akiwasilisha hoja zake za kisheria na haki ni kama anahutubia Taifa ...Huyu jamaa anatumia AKILI ya kimedani aisee.. Chadema imezuiliwa kufanya siasa ila chairman anatumia jukwaa la mahakama kuhutubia sasa....๐๐๐๐๐๐
@420Cousin Mangi....Hutu aliyeshtaki alikuwa makamu mwenyekiti visiwani kwa miaka 10,alikuwa mjumbe wa vikao vyoote nyeti vya chama..
Je,hakujua kuwa Zanzibar inapunjwa??๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ
Alishawahi kulalamika akiwa kiongozi...
Inakuwaje agundue baada ya uchaguzi wa viongozi wapya??๐คฃ๐คฃ๐คฃ
@Elinisaidie_TZ@John_Pambalu Yule aliyesema Chadema ina agenda ya kuingiza virusi vya MPOX na EBOLA TZ naye yuko kwenye kundi lipi mkuu,maana huyu tunamuona ila Mungu anayezungumzwa na Askofu hakuna aliyewahi kumuona.. .Niko pale nasubiri majibu.๐๐