Nimefadhaika sana
Mh kushindwa kupeperusha bendera ya chama..
Kwa hakika ww n miongoni mwa wagombea Bora kuwahi kutokea ndan ya chadema...
2025 chama lazima kikuangalie kwa undan Zaid
We ni tunu kubwa ndan ya chama ila tunamuomba usirud @ccm_tanzania utatuvunja moyo
Hongereni sana wajumbe wote wa Baraza Kuu Chadema @ChademaTz kwa heshima mliyotupa. Naahidi kuendelea kushiriki ujenzi wa Chama chetu kama familia moja katika nchi yetu pendwa #Tanzania
Naunga mkono hoja...
Nimemsikiliza lisu hata sielew alikua anaongea nn Ila
Nyarandu Ni presidential material.. nimefadhaika Sana kuona jamaa kashindwa kupeperusha bendera ya chama #nyarandu
Vijana Na Wazee Tunaofatilia Siasa Tukiacha Ushabiki Na Mihemko Mingi Ya Kisiasa Hasa Upande Upinzani
Chadema Tundu Lissu Alitakiwa By Any Means Abaki Bungeni Kupush Hoja Za Msingi Kama Alivyo ,Na Level Ya Kugombea Urais Angebaki Lazaro Nyalandu Sababu Jamaa Ni Presidential.
Sera za tundu lissu akiwa jukwaani kuomba kura.
👉nilipigwa risasi
👉nimepigwa risasi kibao
👉nimepigwa risasi na watu wasiojulikana
👉nilipigwa risasi dodoma makao makuu
👉nilipigwa risasi 36
👉nimepigwa risasi 40 na bado niko hai
👉nilipigwa risasi mchana kweupe
@ClubMagufuli
Maombi yangu kwa Mungu kwa ajili yako wewe unayesoma ujumbe huu ni kuwa miezi hii iliyobaki kufunga mwaka ya Agosti, Septemba, Oktoba, Novemba na Disemba ikawe yenye neema na baraka kwako. Milango ya fursa ikapate kufunguka, ufanikiwe katika kazi za mikono yako.