Hii ni sababu nyingine why ni lazma Watanzania tumpotezee Zitto Kabwe na ACT Wazalendo.
Imagine baada ya kujiliza kinafki juu ya mauaji ya Oktoba 29 Zitto anatembea na idadi ya vifo 500 iliyotolewa na jaji Chande. Mtanzania anaesema vifo ni around 500 huyo ni team wauwaji na anajaribu kuwasafisha. Na hili la Zitto siku zote, atajifanya kuwasema CCM in a trivial way ila ikija issue kubwa kama hii ya idadi ya vifo lazma atakaa upande wao.
KWELI CHAMA KINACHOSEMA VIFO VILIVYOTOKEA TZ ni 500 KINATAKA KUONGOZA MARIDHIANO??? Hivi wanatuchukuliaje Watanzania ???
We had over 10,000 deaths.
Wakati Chadema wamefungiwa Zitto na Act walikuwa wametuliza makalio wana type tu humu X, Ila Chadema wamerudi mitaani tu ACT wameibuka na wao.
Nakichukia hiki chama kinaitwa ACT with a passion, sababu hiki Chama ndio moja ya sababu haki haijapatikana Tanzania hadi leo. Yani kila baya CCM wanalofanya kinahalalishwa na ACT
Mwandishi Khalifa Said ni miongoni mwa sauti chache katika uandishi wa habari wa Tanzania wanaochanganya taaluma, uadilifu na ujasiri wa kusema ukweli. Ameendelea kujenga nafasi ya uandishi unaolenga si tu kutoa taarifa, bali kuelimisha na kuhamasisha fikra pana za kijamii.
Anajitofautisha kwa uwezo wake wa kuchambua masuala magumu kwa utulivu na umakini, akitoa hoja zenye mizani na ushahidi badala ya mihemko. Uandishi wake unaonesha nidhamu ya kitaaluma, heshima kwa wasomaji, na dhamira ya dhati ya kuona jamii inapata maarifa sahihi ili kufanya maamuzi yenye tija. Huu ni uandishi unaojenga, si kubomoa.
Katika mazingira ambayo mara nyingi yanakumbwa na kelele za taarifa zisizo na kina, Khalifa Said anasimama kama mfano wa mwandishi anayezingatia ukweli, uwajibikaji na maadili ya taaluma. Ni aina ya uandishi unaohitajika zaidi katika kujenga jamii yenye uelewa, haki na mwelekeo sahihi wa maendeleo.
Kwa mantiki hiyo, ni wajibu wa jamii, wasomaji na wadau wa habari kuunga mkono kazi zake na kuenzi mchango wake katika kuendeleza uandishi wa kina, huru na wenye uwajibikaji. Kuunga mkono uandishi wa aina hii si tu kumsaidia mwandishi mmoja, bali ni kulinda mustakabali wa ukweli, haki na mjadala wa maana katika jamii yetu.
. @realDonaldTrump After Iran, please turn your attention to Tanzania.
The CCM regime is a carbon copy of the brutal Islamic regime in Iran. If they had a capable army, they would gladly join the war and stand beside Iran. The only reason they have not is because they know their limits. Their weapons are only strong enough to kill unarmed citizens, but not strong enough to play with the big boys. They are cowards.
Just three months ago, Samia Suluhu and the CCM regime murdered more than 10,000 Tanzanians who were protesting. They simply opened fire and shot people in the streets. Now they are openly showing the world which side they stand with.
This is who CCM truly is , a regime of cold-blooded killers.
@realDonaldTrump, Samia Suluhu is the Khamenei of East Africa. We Tanzanians will keep fighting for our freedom on our own if we must. But if there is any way you can help us win this fight, we desperately need it. Without help, this regime will continue shooting its own people just to cling to power.
@SFRCdems@SenateForeign@StateDept@HouseForeignGOP@HouseForeign@Europarl_EN
“The violent suppression of opposition voices before & after Tanzania’s election was unprecedented in its history.
Tanzania’s democratic backsliding is a red flag for future investment. I look forward to seeing @StateDept's review of the bilateral relationship.” -@SenatorShaheen
Sometimes we find entertainment in the Tundu Lissu case. Such as when Lissu chided the prosecution for failing to protect their own witness after all the efforts to hide his identity! On other occasions it's just humour, eg when a witness said he didn't know the charge against Lissu!
uamuzi mzuri na sahihi sana huu. nashauri pia kwenye hiyo kesi zijumuishwe ‘media’ zote zilizoshiriki katika kuchapisha, kueneza na kusambaza maneno haya ya kashfa na ya aibu dhidi ya heche. mkihitaji msaada wa kuzijua ‘media’ zote zilizoshiriki, namba yangu ya simu mnayo:
Internet blackouts are a tactic: cut the signal, control the narrative. Tanzania did that after the Oct 2025 election.
CIR reviewed 180+ videos showing shootings, beatings and potential mass graves. Exactly what the government didn't want you to see.
Here’s what we found 👇/1