Top Tweets for #mo29
๐๐พ๐๐พ accountability #TanzaniaMassacre #Mo29 Tanganyika #Tanzania #SamiaMustGo #77Tunatoka
Madilu mwenyewe anatumia maaskari wajinga kutisha waajiri wao yaani wananchi na anawaamrisha kwa Whatsapp - mbona ye hatoki barabarani kuzunguka mtaani na bunduki?
Wajinga waliwao! Maaskari nyie mnatumika kama toilet paper - ye na wanae wanakula kodi zetu wanazurura na ma V8 - nyie mnashindia muhogo na maji na kupigwa na jua kuwalinda wabaki madarakani kiharamu! How stupid!
Mwambieni Madilu kimama naye atoke barabarani 7/7 kulinda hiyo amani yao feki ndo tutamwelewa ๐คฃ
Nyieee! Wanahaha sana! Hivi wanaona watanganyika wajinga kwamba wameelekezwa kutoka hawana akili ya kujiamulia? Dharau tupu! Ila #TutaelewanaTu #77Tunatoka

๐๐พ๐๐พ #77Tunatoka accountability #TanzaniaMassacre #Mo29 Tanganyika #Tanzania #SamiaMustGo
Wakati waovu wauaji wanakaa vikao - sisi pia tuna vikao vyetu kama jamii! Kila mwananchi ajiandae kudai haki! Safari hii hawa mafedhuli wamebanwa wameshaanza kuchunguzwa kimataifa na hawataweza kurudia ya MO29
Ndo maana wamebaki kutuma machawa kusema eti mi niwepo na wanaharakati wa nje eti warudi - pumbaf ๐ฎ๐คฃ hawana hoja kabisa ya kushawishi ni vitisho na matusi
Ni hivi:
๐๐ฝ HAKUNA ANAYEANDAMANA KWA SABABU YANGU AU MTU MWINGINE (labda Lissu na wafungwa wa kisiasa mliowateka)
๐๐ฝHAKUNA ANAYELIPWA KUTOKA WANATOKA KWA HIARI PAMOJA NA VITISHO!
Watanganyika tunatakA HAKI na maandamano ni haki yetu! Hao mbww mwitu na kiongozi wao wajue wananchi WAMECHOKA
#77Tunatoka #SamiaMustGo #FreeTunduLissu #JusticeForMO29

๐๐พ๐๐พ #77Tunatoka accountability #TanzaniaMassacre #Mo29 Tanganyika #Tanzania #SamiaMustGo
โผ๏ธ๐จ7/7 NI KUTUMIA AKILI KULIKO NGUVUโผ๏ธ
Tunachojua ni kwamba wamepanga kudhibiti movement kama #D9 ila si kwa level lakini barrier zitawekwa na usafiri watajitahidi kufanya iwe ngumu
Ni vizuri kwa sasa watu HAWAOGOPI tena hawa mafedhuli na hata wao maaskari wanatamani tukiwashe wamemchoka Mwuaji in Chief
So tuweke HOFU pembeni - wamebanwa kwelikweli si mnaoma wanavyohaha
Gen Z ushauri mmoja kutoka mdau huko ndani ni kuwa harakati zianze USIKU huko hawajajipanga na hawako wa kutosha ๐๐ฝ๐ฅ
Mengine tutajadili chemba ila muhimu kutumia maarifa na akili kuliko kujichosha!
Sisi ni wengi kuliko wao #77Tunatoka

๐๐พ๐๐พ #77Tunatoka accountability #TanzaniaMassacre #Mo29 Tanganyika #Tanzania #SamiaMustGo
๐๐ huyu ni nani? Mbona hadi sauti yake inatetemeka?
JWTZ ipo barabarani inatisha waajiri wao yaani wananchi na kuwalinda akina Mwaipopo na Abdul wanaoleta vurugu ikiwemo utekaji na mauaji! So mnalinda wanaofanya vurugu tayari
Wananchi safari hii tunajua we are on our own - hata msiwe na shaka ila
#77Tunatoka #TutaelewanaTu #SamiaMustGo

๐๐พ๐๐พ accountability #TanzaniaMassacre #Mo29 Tanganyika #Tanzania #SamiaMustGo #77Tunatoka
Ukiona mbwa anabweka sana ujue ni jibwa lioga ๐ฎ
Huyu kobe juu ya mti anayebweka ๐คฃ
Yaani wamebaki kututisha na huyu mhalifu! Nyie @tanpol huyu kesho kama hamjamsweka ndani tutajua mmemtuma! Uzuri tushasukumia ICC taarifa hii tunawazoom
Huyu Mwaipopo na wahuni wake wakilutana na nguvu ya umma watasambaratika - wasituchoshe
#77Tunatoka #SamiaMustGo #FreeTunduLissu #JusticeForMO29

๐GOVT SENDING PROPAGANDA SMSโผ๏ธ
#Tanzania
With 3 days to go to 7/7 the planned mega -protest the govt is sending idiotic mass sms about โpeaceโ while they continue to abduct, illegally detain and use goons to intimidate citizens! Rubbish ๐ฎ
Nyie mafedhuli msilete usumbufu! Amani mmeiharibu ninyi! Huyo Mwaipopo anaendelea kututishia na kikosi kisicho rasmi na mpo mnamwangalia mnaongea nini kuhusu amani? Msimpomkamata Mwaipopo tuna haki ya kujihami maana ni wauaji wanatamba live mnawabeba! Nyie wote ni wahuni
๐ฎ๐ฎ
Takataka!
#77Tunatoka #SamiaMustGo #FreeTunduLissu #JusticeForMO29

๐๐พ๐๐พ #77Tunatoka accountability #TanzaniaMassacre #Mo29 Tanganyika #Tanzania #SamiaMustGo

๐๐พ๐๐พ accountability #TanzaniaMassacre #Mo29 Tanganyika #Tanzania #FreeTunduLissu now! #SamiaMustGo
Samia amekimbilia PARIS
Ameacha wajinga wajichanganye waende ICC, amekwepa hata kuyazungumzia maandamano maana anajua alijichanganya October 29 anakesi za kujibu
Sasa amekimbia nchi, kuna maCCM wengi tu wamekimbia nchi
Polisi na JWTZ ndio wamesetiwa kimeo kibaki chao

@Samalentips Milio imekua mingi sana. CHINJA CHINJA MAGAIDI MaCCM yanaogopa sana maandamano. #77TUNATOKA #MO29
We're not asking you to save us. We're asking you to WATCH. Don't let another blackout hide this from the world. Visibility is the only protection we have left.
#SabaSaba #TanzaniaCrackdown #July7 #TanzaniaProtests #GenZTanzania #KatibaMpya #ChangeTanzania #GenzTanzania #Mo29 #humanrights

@ProLearner77 @RKishaija81715 @MightBeKelvin Comoros is doing so well mbn kuliko the whole of mainland ๐น๐ฟ
They once tried to challenge the status quo multiple times knowing the consequences but never bac down
You guys saw one #MO29 mnakuja kulia mtandaon Mama anawanyanyasa- Atawanyanyasa kwlkwl
Mingine 10 kwa Mama ๐ฅ
@ProLearner77 @MightBeKelvin The Political turmoil of #MO29
The legal pact of 1964 that saw the forced Union of Tanganyika n Zanzibar
How did you determine my stupidity curious to know ?
Eti Msukuma anajifanya hakisima haelewi. Msukuma hata za MAITI hujaziona.
Msukuma hawezi kujitoa wala kujifanya hausiki Kwa MAUAJI ya Wasukuma Mwanza, Geita na KAHAMA?!!
TERRORIST ORGANISATION GROUP CCM.
Msukuma wewe ni GAIDI na MAGAIDI wenzako MaCCM MMEUA MAELFU ya watu #MO29 Motherfucker!
โผ๏ธHABARI MBAYAโผ๏ธ
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mwanza Adam Chagulani amekamatwa na Polisi jioni hii, kapelekwa kituo cha Polisi Central Mwanza.
Polisi wamembambika kesi wanadai kaleta Vijana kutoka nchini Kenya ili waje kuandamana.
Maandamano ya 7/7 yamewapanikisha mpaka wamedata wanakamata kila mtu ambae wanadhan anaushawishi kwenye eneo lake.
Jambo moja ambalo wanapaswa kujua ni kwamba kukamata watu hakuwezi kuwasaidia kuzuia Maandamano ya Wananchi sana sana kunazidi kutuongezea morali. #77Tunatoka ๐ช


โKwa MAUAJI ya #MO29 ALIO YAFANYA MUUAJI Samia na MaCCM wenzake.
YANAONDOKA na CCM.
Haiishi mpaka iishe!!!โ - HECHE.

โ MAUAJI YA #MO29 ALIO FANYA MUUAJI Samia na MaCCM wenzake, LAZIMA yataondoka na CCM. Haiishi mpaka iisheโ - HECHE
# FreeTunduLissuNow #KatibaMpyaNiSasa #SamiaMUUAJIMustGo #SwitchOffCCM #77TUNATOKA #MO29
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.9M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.8M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.6M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.2M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.1M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62.9M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.9M followers

X 
@x
60.8M followers















