Kuna vitu vinatia aibu sana Airport kuna milango mingi ya kuingia ndani ila imefungwa na kulazimika kutumia mlango mmoja kwa wanaosafiri na wanaokuja kufata wageni inapelekea kupanga foleni kuingia ndani ya Airport ni aibu kubwa kwa taifa letu @ikulumawasliano@TZWaziriMkuu
@mirambograndson @fumbokhan123 Manula kwa wachezaji wa ligi yetu kwa msimu wa 2021-2022 alifika Robo Fainali kimataifa mbele ya Mayele,Aucho na Bangala mbele ya Timu ya Aziz Ki na pili hizi ni tuzo za wachezaji wa Ndani hao wachezaji hawahusiki nazo
@shaffihdauda1@SimbaSCTanzania Kaka sipingi maono yako ila Viper ilipaswa kupata matokeo kwa Simba yenye mapungufu, hawa pia wangeikuta Simba bora usingeweza kuongea hayo