Mtihani mwingine sisi vijana tulio nao ni kuchagua marafiki au watu wa karibu na sisi akiwemo mke wako!!!apo akili lazima uitumie vizuri yaweza kuwa ndio mafanikio yako au anguko lako.
@SalimuIbwe Kaka umeamua udownlaod na picha angu kabisaa...hili joho itoshe kukuambia ni degree ya udsm kabisa...kama comment imekukwaza pole sana na samahan mm nmeona kawaida !!!
@Fortunee_Mans Hawajajichanganya juzi kati nimefungiwa nida yqngu siwezi sajili ata laini kwa sababu ya izi taasisi za mikopo nasikia wanapeleka nida namba wanazozidai zinafungiwa...
Kila jambo lina maamuzi ili https://t.co/KqIUnJuevD furaha sana kwa hawa jamaa maana maamuzi yao yalikuwa magumu sana..yani ufe ama urudi !!!what a decision! Imagine furaha ya kukutana tena na mke wako na familia after this trip as a winner๐ฅ๐ฅ๐
@wickama Nilijifunza kitu kuna siku nmekula wali maini pale stendi dumila kwenda dodoma yanapopaki malori aseee niliendeshaa sana siku mbili nzima.hayafai kabisa kula maini