@AnethStanley@NatGeoPhotos Iripotini hii account kwa wingi sana. Hakuna muislam anaweza akawasema wakristo kwa ubaya na chuki namna hii, sio Tanzania hii ni
@nickluhende@fatma_karume@AnethStanley Anafikiri serikalini kuna baraza la dini kule kwamba waislam 10 wakristo 10 kwamba akipungua mmoja uje ulalamike. Mbona magufuli aliteua sana wakristo ulikua wapi enzi hizo?Mbona Magufuli kila uchwao yupo chachi anaendesha serikali ushasikia muislam yeyote anakenua domo umu?Kanye
@jaliluzaid@JamadiHatibu May be alikua hafahamu. Na kwa kuongezea tu, msikitini haifai kulala japo wengi tunapendelea kufanya hivyo lakini haifai kulala, kwenda kuoga na kuchaji simu, vyote hivyo havifai. Ukiona geni hili basi waulize ahlul ilm watakuambia
Kuna baadhi ya watu tunaowapa nafasi katika maisha yetu ndiyo wanaokwamisha tusisonge mbele. Kuwa makini na mtu unayempa nafasi kwenye maisha yako, kuna majuto mengine ni ya kuyakwepa kiakili tu๐ธ
Retweet๐๐
@DrPiusDamian @earadiofm @OR_TAMISEMI @ummymwalimu Hiyo ni kwa mwalimu mkuu, pia inampa uzoefu katika uongozi na inaongeza C. V
Kwa upande wa serikali na kwa wanafunzi husuka nitaacha wengine wajazilizie faida zipo tele.