@CatherineRuge Na nyinyi kaeni kwakutulia yaani nyie wanasiasa hamuwezi ishi bila matukio kwani na nyinyi mmekuwa wasanii jamani kwani hawa covid19 si wanakesi yao au
@godbless_lema Kwa hiyo wewe unashangilia sio hao wanaofungiwa ndiyo wanaotafutia watoto waoa ada za shule kinachotakiwa ni elimu sio kifungia tu waonekane wanafanyakazi hao ndiyo walipa kodi
@gift_macha We umeona nini kipya au kiherehwrw cha kutwite halafu hujui chochote kuhusiana na mpira we unataka simba ashinde kila siku kwani timu zingine haziitaji