Kwa kumalizia Hussein Mwinyi ni Rais wa #Zanzibar na anawatumikia WAZANZIBARI
Mtake msitake wazanzibari wapo na wana identity yao kama wazanzibari
Ndo maana ktk salamu zake Hussein Mwinyi kampongeza #AbdulrazakGurnah kwa niaba ya wazanzibari na hajataja Tanzania - anaelewa hili
@tanpol hivi ndivyo mlivyowaelekeza askari wenu? Huyu askari amenisimamisha kwa kidai nimepita taa nyekundu jambo ambalo si kweli. Lkn hata ingekua kweli; ni sawa kunambia "tena nyie ndio tunahasira nanyi sana mnaoikosoa serikali" ? Kisa ameona nimevaa tshirt ya @WAKA_movement
#KatibaMpya itaongeza uhuru wa mahakama na kupunguza mihimili mingine kuingiliwa na Serikali #CheckAndBalance . Mfano #RasimuYaWananchi =Jaji Mkuu ateuliwe kutokana na mapendekezo ya Tume ya Utumishi wa Mahakama na asiapishwe mpaka athibitishwe na Bunge.
Kwa nafasi ya juu kama Jaji Kiongozi kwa kawaida uteuzi huhusisha mazungumzo kati ya mteuzi na mteuliwa. Uteuzi huu ni kipimo kwa Jaji Siyani kuonyesha uongozi kwa kufanya maamuzi ya haki bila kuingiliwa na kauli zisizokuwa za kweli za Rais @bbcswahili .
Dini ziheshimiwe huyu sio mchungaji hana sifa huyu ni Muhuni tu aliejificha katika dini Biblia inasema sio kila aniitae Bwana Bwana na pia inasema siku za mwisho watakuako manabii wa ungo huyu Masanja ni mshenzi mmoja tu hakuna Utume kwa kweli humo Mchungaji kashika nini hapo? 😁
Jana siku ya Tarehe 05.10.2021 tulilazimika kupita wilayani CHATO kumsalimu kamanda Husna Said baada ya kusikia kuwa anasumbuliwa na mguu kwa muda mrefu. Makamanda songeni mbele, wacha niuguze mguu wangu, nikipona nitaungana nanyi katika mstari wa mapambano.