@TanzaniaOneJezi@prossoff@Dr_DGwajima pendekeza hii mswada bungeni. Siku hizi watoto wa frm4 wanapiga wazazi wao. Kitendo cha kulea mtoto kama yai italeta madhara mbeleni. Asilimia kubwa nyie mawaziri mmekula mboko ndo maana mnajielewa. Mtoto anamaliza chuo ukimtuma anakugomea kazi hayataki