@_zack255@Bizydan@Kaka_Tzey Sasaa Usalamaa wana kaz ganii kama ivii vituu hawajuii??au kaz ni kubadilishaa vibango vya namba plate za magarii tu na kutubimbiaa ukuu mitaanii??
@millardayo Polisi watende hakii na wawajibike kwa Wananchii......,hakunaa mwenye haki ataachwaaa na upendo na heshima itakuwepoo na sio Ujinga plz.....
@Mapungo2020 Toenii unafikii wenu hapaa,nyie si mnashababikiaa CCM kwan alieibaa anatokaa mbingunii au ndan ya chama cha CCM???Achen unafikii na mkae kimyaaa,mama anaupigaa mwingii....na mitanoo tenaaππ