‘Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako’ - Hosea 4:6
Hizi sinema/series sijui zitaisha lini. Ni vigumu sana kujua kama ni ya kutisha, komedi, katuni au drama....action fulani bandika bandua ili mradi kila mhusika ana lake. Director kafeli sana #SijuiLakini
🔴⚫️🏆 Bayer Leverkusen win the Bundesliga title for the FIRST time in their history!
74 goals scored, 19 goals conceded, ZERO defeats.
Insane job by Xabi Alonso and this group of fantastic players.
Congratulations, @bayer04fussball! ✨