@Eric__Bernard@rollymsouth Issue kwa nini Serikali kupitia sera zake za ukusanyaji mapato zinaelekeza bango kuchajiwa? Bila kujali anayekusanya ni nani
@MarekaMalili Hakika japo wao kuwa zaidi kwa mama yao ni nature ya viumbe hai wengi hatuwezi ikwepa kikubwa ni kuwa na mawazo chanya juu ya wao na mama yao