Kosa Kubwa Unalofanya Kila Asubuhi Ni kunywa chai na chapati....STOP....✋️
Unadhani chapati ni kifungua kinywa bora..? Ipo hivi...👇
Kila sahani ya chapati unayoanza nayo asubuhi, Ni hatua moja kuelekea magonjwa yasiyoambukizwa — kisukari, shinikizo la damu, na unene kupita kiasi....
Mwili wako hauhitaji mafuta na wanga mwingi asubuhi, unahitaji mwanga safi yenye afya....
Anza siku kwa maji ya vuguvugu, mazoezi mepesi, kisha chakula chepesi chenye protini na nyuzinyuzi....
↳ Punguza wanga iliopitiliza...
↳ Fanya mazoezi kila asubuhi...
↳ Pima afya yako mara kwa mara...
Kula sahani kama hizi unaunganisha makundi muhimu ya virutubisho ambavyo vina mchango mkubwa katika afya ya uzazi...
Haswa upande wa mzunguko wa damu, homoni za uzazi, na nguvu za mwili....
Kuongezeka kwa uzalishaji wa Nitric Oxide kwa wingi, salad na Parachichi zina virutubisho kama nitrates, folate na antioxidants ambazo huchochea mwili kutengeneza Nitric Oxide.....
Nitric Oxide ni kemikali muhimu inayopanua mishipa ya damu (vasodilation)...
Matokeo yake ni...👇
↳ Damu kusafiri vizuri mwilini..
↳ Damu kufika vizuri kwenye viungo vya uzazi..
↳ Kuimarika kwa erection strength 🍆
Hii ndiyo sababu kuu lishe sahihi inaweza kusaidia kupunguza uume lege lege bila kutegemea booster..
Kuimarika kwa homoni ya kiume (Testosterone) Mayai, samaki au nyama nyeupe na Almonds zina....
↳ Zinc..
↳ Healthy fats..
↳ Vitamin D..
↳ High quality protein..
Virutubisho hivi vina mchango mkubwa sana katika utengenezaji wa Testosterone hormone, Homoni inayo boresha...
↳ Nguvu za kiume..
↳ Hamu ya tendo la ndoa..
↳ Uzalishaji wa mbegu za uzazi Na
↳ Stamina ya mwili wakati wote...
Kuimarika kwa ubora wa mbegu za kiume, parachichi, almonds na mayai yana antioxidants na omega fatty acids ambazo hulinda seli za uzazi dhidi ya uharibifu wa oxidative stress....
Moja kwa Moja husaidia katika kuongezeka kwa..
↳ Sperm motility (uwezo wa mbegu kuogelea)....
↳ Sperm count..
↳ Ubora wa mbegu kwa ujumla..
Nguvu ya mwili na stamina kitandani, Mchanganyiko wa protein, healthy fats na micronutrients huimarisha.
↳ Uzalishaji wa nishati mwilini..
↳ Uimara wa misuli..
↳ Uwezo wa mwili kuhimili uchovu..
Ndiyo maana wanaume wanaoboresha lishe yao mara nyingi huona mabadiliko makubwa kwenye stamina na performance kitandani...
NB: Siri ya nguvu za kiume haipo kwenye booster za dukani, Msingi wake unaanzia kwenye mzunguko wa damu, homoni na lishe sahihi ya kila siku....
Sahani kama hii inaweza kuonekana yepesi kwamba hutoshiba...😂
Lakini ndani yake kuna virutubisho vinavyosaidia mwili wako kujitengeneza wenyewe....
Swali langu kwako mwanaume mwenzangu…👇
Kama sahani yako ya kila siku ingekuwa na lishe kama hii kwa wiki mbili tu..!!
Unadhani mwili wako ungefanya mabadiliko kwa kiasi gani..?
Comment neno PROGRAM 👍 Nakuja na mwongozo wa sahani 12 bora kwa Mwanaume......💪