@chapanombombwi we nae mzinguaji ,mtu karibu kila siku ana jambo juzi alikuwa na ziara mpaka nje ya nchi ,karudi alikuwa na jambo magereza, bungeni anaonekana unasemaje amesusa ofisi?na unaweza dhibitisha kuwa sio yeye anaongoza wizara? tuacheni uzushi zisizo na maana
@kikomasta Mifumo yake ni imara sana na ndio ilikuwa ikimpa kiburi lakini punch za irani zimekuwa kali sana kiasi mpaka mifumo inachanganyikiwa ,mtu anarusha kombora kama kokoto vile 😅😅
@SuluhuSamia Sera ya mambo ya nje ni muhimu sana kwa mustakabari wa nchi yetu hususani katika ulimwengu wa sasa ambao dunia ni kama kijiji ,tunatumia Diplomasia ya Uchumi kufungua fursa kwa jamii nzima ,kazi iendelee
"Nimeona clip kadhaa za kunisema, mara nina ubaguzi na nini, ninalofanya ni kulinda nchi yangu na ndiyo wajibu wangu niliopewa. Kwahiyo hatutotoa nafasi kwa kiumbe yeyote kuja kutuvuruga hapa awe wa ndani ama anayetoka nje." @SuluhuSamia
"Tanzania ni ya amani, siyo ya vurugu.” @SuluhuSamia
Tanzania imekuwa kivutio cha amani kwa miongo kadhaa. Hii sio bahati ni kwa sababu ya hekima ya Watanzania na uongozi thabiti unaojali uhuru na haki za wananchi wake. Tusiruhusu wageni na vibaraka kuvuruga Amani yetu,
@EsirEid baada ya kushauriana na shirikisho mwenyeji( TFF) ambapo pia timu mwenyeji angehusishwa hilo halijafatwa,kamati ya mashindano imebadili bila ya kufanya hivyo ,simba anaweza pendekeza sehemu ambayo angependa kutumia kama uwanja wa nyumbani hata iwe nje ya nchi
@ikulumawasliano@AbdulShehoza Maboresho ya Sheria ni jambo la muhimu sana kwani kadri miaka inavyosonga mambo yanabadilika ,hongera kwa maboresho yote ya sheria ya 2023
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: https://t.co/cnxHoY889H
@ikulumawasliano Kwa uwezo wa kazi wa Prof. Janabi na kwa uzoefu na utaalamu wake ,uwezo wa kiuongozi ni imani yetu na hakika atatuvusha katika sekta ya Afya Afrika ,anafaa na anatosha na tuna imani naye
@mdudenyagali Acheni uzushi kwa hoja nyepesi ,ni siasa gani ambayo inakosa maadui ? nyie wenyewe chamani kwenu munaparuana huko ,Kiongoz amepeleka maendeleo katika sekta nyingi nchini na wananchi wamenufaika ,shukrani na upendo wa wengi utafunika chuki na uadui wa wachache
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: https://t.co/cnxHoY889H