Mna taarifa? π au niwape? Uzuri wa mie sinaga umbea wa kubahatisha sema tu mnaniangalia kwa jicho moja!!
Hakuna wanasiasa wa upinzani Tanzania π, Twaha anasema amepata za ndani kuhusu tume hahahaha! Mwambie bado hawajui viongozi wake vizuri!!
Za ndaniiiiii, zitafute kuhusu viongozi wako akianza na Katibu wako!!! Jaman nasema hakuna wapinzani ila kuna wafanya project tu!!