Mwandishi ๐ค Vip maendeleo ya Alikiba
Denzer Trainer ๐ค Mimi sio trainer wa Alikiba na sihitaji tena kumtain tena
Mwandishi ๐ค Kwanini na mbona imekua ghafla
Denzer Trainer ๐ค Nishasema sitaki kwani lazima.
Mwandishi ๐ค Au sababu kwenye wimbo wa Sumu kile alicho kipresent kilikua kinakuhusu pia katika ile scene ya Tariner aliovaa uhusika Gabo zigamba?
Denzer ๐ค Kama huna swali lingine naomba niondoke
Mwandishi ๐ค sawa asante
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Mwaka 2018 mdada mmoja nchini THAILAND alipata UKIMWI akiwa na miaka 20, akaamua kuchora tatoo ya HIV chini ya kitovu ili wanaume wamuogope na alikuwa anaacha kitovu wazi, alikuwa na huruma na hakutaka kuambukiza watu wengine, ila Cha ajabu wanaume ndo walizidi kumtongoza, hata wakimvua nguo akiwaeleza ana HIV, ndo walikuwa wanapata munkari wa Kuchakata zaidi,
Wanaume ๐ ๐คฃ