Movie nilizotizama Weekend hii.
Kama wewe ni Mnazi wa haya mambo
Hii list inakuhusu...
↳ Oppenheimer (2023)
↳ The Creator (2023)
↳ The Killer (2023)
↳ Rumble Through The Dark (2023)
↳ Saw X (2023)
↳ Fair Play (2023)
JITIHADA Ni Msingi wa Mafanikio🧠
Kazuo Inamori, nguli wa Kijapani anakufundisha mambo 11 ya kuzingatia ili jitihada zako zizae matunda.
REPOST!
1. Kazi ni utu.
Jitahidi sana kufanya kazi.
Popote pale ulipo. Anzia hapo.
Kazi itakupa thamani maishani.
Sio lazima uajiriwe. Fanya kazi.
Mengine yatajipa mbele ya safari.
2. Usikubali kukwamishwa na vikwazo.
Maisha ni vita. Unapokubali kukwama unakuwa umekubali maisha yamekushinda.
Usikubali kutoka relini.
KOMAA.
3. Daima tafuta kuanza enzi mpya ili kuwa na kitu cha kukimbiza maishani.
Ukiona jambo haliendi vile inafaa, jitafute na uanze enzi mpya.
4. Penda kazi yako.
Fanya kazi inayokupa satisfaction moyoni.
Usifanye tu kazi alimradi maisha yaende.
Kwa kuanza unaweza kuanza na kazi ya ku-survive.
Ukijipata hakikisha unafanya unachopenda. Au basi penda unachofanya.
5. Makinikia jambo moja.
Ni jambo jema kujua vitu vingi.
Unaweza kujua mambo mengi sana.
Jitahidi kuwa mtaalam wa jambo moja kwa undani sana.
Yaani kuwe na eneo, watu hawawezi kutoboa bila wewe.
6. Fungua njia yako mwenyewe.
Mara nyingi huwa tunahitaji msaada wa watu waliotutangulia.
Mara nyingi huwa tunatafuta kazi za kuanzia.
Ukumbuke malengo ni kufungua vyetu na kuwagusa wengi zaidi.
7. Akili nzuri - mwili mzuri.
Kula vyema jenga mwili wako.
Unakuwa na ustawi kulingana na kile unakula na kuweka maishani mwako.
Kula vyema, jenga afya yako na ustawi wa akili.
8. Daima jihoji kwenye maisha yako.
Usikubali kuishi bila dira.
Weka malengo yako.
Kumbuka kujitafakari na kujihoji mwenyewe.
Hii itakupa majibu ya maswali mengi magumu.
9. Soma vitabu vizuri upanue upeo wako.
Kusoma vitabu ni mentorship ya kiaina.
Unaingia maishani mwa mtu na kujifunza kupitia maisha yake.
Usipoteze nafasi hii. Soma vitabu,
Iba siri za ushindi.
10. Daima ishi kwa kuwatia wengine moyo.
Usiwe mchoyo. Usitake kutoka mwenyewe.
Kama una vijana wako chini yako.
Hakikisha unakuwa kiranja wa kweli.
Wafundishe na watie moyo wa kupambana.
11. Jenga uaminifu na uishi daima.
Uaminifu ni mtaji. Jiaminishe.
Tunazijua stori nyingi za watu waliofanikiwa kwa kuonesha uaminifu tu.
Kosa vyote kwa jamii, lakini usionekane usie mwaminifu.
Repost Wengi Wajifunze!
Ili kujifunza zaidi kwenye Bio Hacking, Personal Development na Expert Business:
FOLLOW ME: @millambo_
Join our Telegram Channel:
https://t.co/mB5Pj1PSsG
Subscribe to our YouTube:
https://t.co/9VtX1q0KW9
Niliwambia nitawapa njia za kurun matangazo google, Facebook, reddit na Pinterest bure pasipo kulipia hela yoyote,
Leo tutaanza na google jinsi ya kupata $50 za google utakazo zitumia kurun google ads bure pasipo kulipia chochote
Thread 👇
Leo nafungua Code kwa wauza Mitumba. Ingawa wengine watachukia kwa kutoa Siri hii.
Msimu wa Blouses, Official Pants, Dresses umewadia. Vyuo vinaenda kufunguliwa. Vijana wamepewa pesa za kujikimu na pesa zao kwa sehemu kubwa hununua nguo (hasa mabinti)
Nenda Mnazi Mmoja mtaa wa Sophia Kawawa, ulizia kwa Mustapha kisha nunua balo lenye chapa ya GIGA. Ndiye mtu pekee anauza hizo.
Balo hili huwa halikai dukani mara nyingi yakifika huwa yanaisha siku hiyo hiyo au ndani ya siku mbili.
GIGA hutokea Canada, kwenye gauni na Blouse hizi balo ni 🔥🔥🔥
Haya hapo nimefungua code sana, mengine kajiongeze huko huko.
Je, una uhuru kweli au ufanya kile jamii imekwambia?
Kama unafanya yafuatayo:
HUNA uhuru binafsi-Unafata mkumbo wa kudunia:
1. Huna malengo
2. Unaangalia taarifa za habari kila siku
3. Haupitwi na series
4. Unaacha mambo yako kuangalia mpira
5. Ukiamka asubuhi unaanzia kwenye simu
6. Hujui kusudi lako la kuwepo duniani
7. Unakula breakfast
8. Unaishi kwa kufuata kilichopo mbele yako
9. Huna muda wa kukaa wewe peke yako
10. Hujui uwezo mkubwa wa akili yako
#jeshilam2m1
Kuna sababu saluni za kiume nyingi zimepakana na car wash.
Huku ananyoa, kule wanaonsha chombo.
Biashara ni jicho la 3,
Biashara ni mbinu,
Combo ya saluni + car wash haijawahi kufeli.
Kama kuna traction kubwa ni Win Win.
#Tutoboewote
Content creation imethibitisha kuwa fursa iliyo wazi kwa kila mmoja.
Nini kinakukwamisha kuanza leo?
Leo hii ukipata nini utaanza content creation?
1. Simu kali (vifaa)
2. Idea kali / Niche
3. Naogopa macho ya watu
4. Uvivu tu na kuahirisha mambo
Watu Wengi Hawajui Namna ya Kuweka MALENGO na Kufikia Ndoto zao.
Miaka 5 iliyopita, nilifanya maamuzi magumu ya KUJIKOMBOA.
Na huu ndio MSINGI Uliobadili maisha yangu.
Hii ni RATIBA YANGU YA SIKU, ukiweza kuifata Utajikomboa pia.
Retweet Wengi Wajifunze 🙏
🧵
Kama umekua na wakati mdogo wa kupumzika mchana au usiku basi hizi platform mpya zitakua bora sana kwako.
Unaweza kufanya kazi mda wa usiku ambao umetoka kwenye majukumu yako na zikakupatia hela ya kutumia wikendi bila kushika mshahara wako kabisa
Thread in a nutshell 👇
Hizi hapa tools 20 za AI ambazo ziakurahisishia kazi
Weka bookmark au ulie baadae.
1. Contents writing AI
• Copy
• Jasper
2. Video Creation AI
• Invideo
• Heygen
3. Images AI
• Midjourney
• Leonardo AI
4. Design Tools AI
• Canva
• Autodraw
5. UI/UX design AI
• InstantAI
• Photoshop AI
6. Website AI
• Durable
• Hostinger
7. Generate ideas
• chatGPT
• Claude 2
8. Marketing & Ads AI
• AdCopy
• AdCreative
9. Meeting automation AI
• Fireflies
• TLDV
10. Task Automation AI
• Make
• Zapier
Ndugu Mtanzania, AI ndio ulimwengu mpya.
SPARTANS⚔️⚔️ VOTING LINES ARE OPENED!!👏🏾👏🏾🔥🔥🔥
The Focus is Ceec⚔️
No sharing of votes 🚫
No Distractions 🚫
VOTE CEEC
VOTE CEEC ONLY
#Ceec#CeectheLegend#BBNaijaAllStars#BBNaija
Program nzuri za kuedit picha kwa kutumia simu
Kuna programu nyingi nzuri za kuedit picha zinazopatikana kwenye simu,lakini baadhi ni bora kuliko zingine. Hapa kuna baadhi ya programu bora za kuedit picha kwenye simu yako👇👇
Kama unandoto za kutengeneza pesa mitandaoni hata kama umelala hakikisha unachagua ujuzi mzuri kulingana na wewe unapendelea nini .
Leo nimekusogezea TOP 10 skills unazoweza kujifunza mtandaoni kwa sasa ili uweze kutengeneza maokoto ya kutosha ndani ya mwaka mmoja.-Here we go.
✔️1-Social Media Ads Monetisation
✔️2-Blogging
✔️3-Video editing
✔️4-Forex Trading
✔️5-Content writing
✔️6-Web development
✔️7-Crypto currency trading
✔️8-Coding and programming
✔️9-Artistic or graphic designs
✔️10-Marketing and product designs
Kwa madini mhimu kama haya mimi huwa nahakikisha nabonyeza bookmark kwa ajili ya kujikumbusha tena siku nikitaka kusoma technolojia iko kasi sana.
eHustlers Hub Telegram Communities zimekamilika.
Link kwenye Bio ⤴️
⭐Basic Community. {FREE - Lifetime Access}
1. Michongo kama kawaida humu itashuka, na hustles za online [Verified hustles]😀✅
2. Regular updates na nini kipo kwenye trend, kama internet hustlers unatakiwa ukijue. 😃
3. Basic level ya support for kwa ajili ya muongozo wa mambo tofauti!
4. Questions and Answers, maswali pia yatajibiwa (❓)
______________________________________________________
______________________________________________________
⭐⭐⭐⭐⭐ Premium: {One Time Subscription - Lifetime Access} - $25
1. Deals na new updates za michongo, humu utakua wa kwanza kujua, yani Exclusive 😀
2. Ile michongo ya kupiha hela nyingi, yani high earning freelance opportunities. ✅
3. Mentorship & Consultation.
4. Priority support kwa kila atakae kua ame stuck sehemu.
5. Tutafanya in-depth tutorials, webinars, huku mpaka piracy ntawafundisha, panya road zote mtajua! 😅
6. Community Webinars/Calls, kila wiki! Tutazungimzia na kutatua changamoto na discussions za mada tofauti tofauti.
- Pia classe kutoka kwa expert, from abroad kwenye topic tofauti tofauti (hapa kingereza uwe unaelewa, japo kutakua na recap ya kiswahili😅🤣)
---> NB: Huku tunaenda Speed mpendwa!
Kama wewe unaona ni wa Premium, Kindly DM.
Cheer's 🍻