Nitakuja kukusalimia nikifika Arusha nikupe Injili ya Mungu.Kama Biswalo, Paul Makonda,Mrisho Gambo na wengine wako huru basi wewe haupaswi kuwa jela.Rais kataja jana wezi wa pesa za Plea bargaining na mtu huyo ni jaji.Sheria haipaswi kuangalia sura,cheo,dini au kabila.
Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Mwanasoka wa Karne kutoka Brazil Edson Arantes do Nascimento “Pelé”. Mchango wake katika soka Duniani utakumbukwa daima. Pole kwa Rais wa Brazil @jairbolsonaro, familia & mashabiki wote wa soka. Mungu amweke mahali pema peponi, Amina.
Mitandao ya kijamii imeenea duniani kote hivi sasa .Ni muhimu wakati wa matumizi ya kimtandao kuweka usalama wa hali ya juu katika vifaa vyetu ili kuepukana na waharifu wa kimtandao. #Digital security# defend defenders.@dorina mathayo @ nkibaso @NeyNeolle.