I know one of the friend of mine used to say.
Good life never comes hivi hivi.
You should be patient to make the good life.
Your struggle and prayers will make your good life be easier hivi hivi.
#Jipemuda😁
Kikundi kinapaswa
✅ Kuwa wakazi wa eneo moja
✅ Nakala ya katiba yao
✅ Barua ya kuomba mkopo
✅ Passport size 2 kwa kila mwanakikundi
✅ Nakala za NIDA
Karibu sana tuwahudumie kwa mawasiliano 0678 000 800 | 0679 000 900
#MpangoPesa
ZIJUE AINA YA MITAJI YA BIASHARA NA TARATIBU ZAKE
1. Pesa zako (personal savings)
- Chanzo cha kwanza kabisa cha mtaji ni pesa zako
- Zinaweza kutokana na akiba yako, au kuuza sehemu ya mali yako kama ardhi, hisa, hati fungani, n.k
- Kiasi cha mtaji: TZS 0 - 10m
2. Ruzuku (Grants)
- Hii ni mitaji inayotolewa na wahisani na programu maalum za wajasiriamali
- Inaweza kutolewa kwa biashara mpya, changa, na zenye ukomavu
- Kwa TZ, watafute FUNGUO, Ennovate Ventures, etc
- Kiasi cha mtaji: TZS 10m -200m
3. Ndugu na jamaa
- Unaweza kupata mtaji kiasi kwa watu wako wa karibu kama ndugu
- Mara nyingi hutolewa kama mkopo usio na masharti
- Unaweza kupata zaidi mtaji huu kama ukiamua kuwauzia hisa angalau kidogo
- TZS 100k - 50m
4. Wawekezaji wa mapema (angel investors)
- Hawa ni wawekezaji wanaokupa mtaji kampuni ikiwa bado changa
- Wanachukua sehemu ya hisa ya kampuni
- Watapata faida ya fedha zao kupitia kuuza hisa zao bdae zikipanda thamani, kupata gawio, au sehemu ya mapato
- Kwa TZ wapo TAIN Fund, Serengeti angels, na Warioba ventures
- TZS 20m - 100m+
4. Mifuko ya serikali
- Serikali ina mifuko zaidi ya 60 yenye fedha kwa ajili ya vijana, wanawawake, na wajasiriamali wadogo ki-ujumla
- Wasiliana na watu wa mfuko wa uwezeshaji (NEEC)
- Kuna 10% pia za halmashauri, fuatilia katika halmashauri yako
- TZS 1m - 100m+
5. Mitaji ya pamoja
- Hii ni mifumo ambayo unaweza kupata fedha kidogo kidogo kutoka kwa watu wengi, inaitwa crowdfunding
- Au watu wanaweza kuanzisha kikundi na kupeana mitaji wao kwa wao (startup investment clubs)
- Kwa TZ, fuatilia Wengi Crowdfunding
- Kiasi cha mtaji: TZS 50m+
6. Wawekezaji wa mitaji binafsi (venture capital)
- Hili ni kundi la wawekezaji wanaowekeza katika biashara ambayo imeanza kukomaa na kutanuka
- Watachukua hisa au wanaweza kukupa mkopo usio na masharti ya ki-benki
- Kwa TZ wasiliana na SSC, Mbadala Agro Fund, na DealMe kwq msaada zaidi
- Kiasi cha mtaji: TZS 500m+
7. Taasisi za ki-fedha
- Hapa ni ma benki na huduma za ki-fedha ndogo ndogo (microfinance)
- Mara nyingi ni kwa biashara zilizopo, zenye mzunguko (cash flow), na zenye dhamana.
- TZS 50m+
NB:Usipoteze muda mwingi kutafuta chanzo cha mtaji mahala pasipo sahihi kwako
Tangu kuzaliwa, wanadamu hujengwa kwa nguvu ya kielelezo. Huwa tunajifunza kufanya mambo ya msingi sana maishani, kama vile kutembea, kuongea na kuonesha hisia zetu, kwa kuwaiga wale walio karibu zaidi nasi. Kama watu wazima, bado tunahitaji watu walio mfano, na hata kama si
@YehoYaqim08 Nyongeza tu, taasisi ingepambana kuajili mtu mwenye uwezo wa ku deliver vitu mbalimbali, lengo kupunguza matumizi na gharama zisizo na ulazima. Imagine unalipa influencer akafanye kazi ambayo mwenye kitengo anaweza kuifanya... Come on influencer.