Hongera sana @ProfJanabi kwa ushindi wa kishindo kuwa Mkurugenzi @WHOAFRO. Ni ushindi wa Rais @SuluhuSamia na Watanzania wote. Tunajivunia. Umetuheshimisha sana. Tunakuombea mafanikio mema katika kutimiza majukumu yako mapya. Ninavyokufahamu Profesa, sina wasiwasi kwamba utafanya vizuri sana. Afrika na Dunia watashangaa!