@NikkiWa111@EDWARDMATIKO2 Wewe unavyomuona pale Pr J Hadi yupo vile unadhan Chadema walimuacha unajua mbowe kafanya Nini kwa PR J au unataka kila mtu ataje sh ngapi..
Naam!
Aliyekuwa mke wa marehemu bilionea Msuya anayeshitakiwa kwa mauaji ya wifi yake Aneth Msuya inakaribia ukingoni.
Dalili za "kutema ngeze" ziko wazi baada ya wazee wa baraza kutoa maoni haioni hatia dhidi yake.
Uzi huu ni mtiririko wa matukio A-Z
@chapo255 Oooh God No....I like this women indeed...mzuki wake ni bora mno mno daah...
1.Destiny
2.Phendula
3.Loliwe
4.Impilo
5.Ndiza
6.Mali
R.I.P Guru dah
@BusesNation Oya we aliechukua video Mungu ambariki sio poa chuma ya ukali Mwamba Abood AZE chuma ya kuamsha kipindi hiyo ndo kulikuwa na safari mguu wa shingo mguu wa roho ni kuamsha tu..