Anapanda Jahazi la watu masikini kisha analitoboa. Anakutana na kijana kisha anamuua. Wanagoma kumkaribisha, kisha anausimamisha ukuta wao(ambao ulitaka kuanguka).
Nabii Musa(Amani iwe juu yake) anashangaa, hajui hekima ya haya yote. Kisha baadae ndiyo anaambiwa hekima yake.⬇️
"Dirisha la maombi kwa kozi mbalimbali katika Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro liko wazi. Omba kupitia https://t.co/9GvJkR2l5b". Wapigie simu kwa namba 0656400024, 0658500528 ama 0785330002.
remember to recite after every prayer:
• ayatul kursi
• subhanAllah x 33
• alhamdulilah x 33
• Allahu akbar x 34
• surah’s al- falaaq, ikhlas & al-nas
• Allahumma aa’inni ala dhik-rika,
wa shuk-rika, wa husni ibadatik.
وَمَن يَتَّقِ اللَّهَ يَجْعَل لَّهُ مَخْرَجًا وَيَرْزُقْهُ مِنْ حَيْثُ لا يَحْتَسِبُ
And whosoever has Taqwa of Allah, He will make a way for him to get out. And He will provide him from where he never could imagine.
Qur'an 65:2-3
#Muislam
"Haufiki msiba wowote ila kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Na mwenye kumuamini Mwenyezi Mungu huuongoa moyo wake. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kila kitu."
Qur'an 64:11