Shabaha yetu nikuhakikisha kila kura ina heshimiwa na inaleta maendeleo chanya katika jamii zetu.
Hivyo niwaombe katika uchaguzi mkuu Mujitahidi kuchagua viongozi wenye weredi na wawajibikaji, Ilikuhakikisha tunapata maendeleo na haki kwakila raia wa Tanzania.