Bandari ya Dar es Salaam imeandika historia nyingine kubwa baada ya jana kupokea meli iitwayo Serene Theodore iliyobeba mzigo mkubwa zaidi wa tani 38,500 ambao haujawahi kutokea
Rekodi kubwa ya mwisho ilikuwa miaka 10 iliyopita ambapo ilipokea meli yenye tani 30,000
#JamboMuhimu

Nimeitika wito wa Mh Rais @SuluhuSamia na wataalam wa afya @wizara_afyatz kwa kupatiwa chanjo dhidi ya #covid19 katika hospital ya Aga Khan. Naishukuru serikali kwa hatua hii muhimu kuwapatia chanjo Watanzania. Chanjo ni salama na natoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa huduma hii
@ortamisemitz Washenzi hawa,wanatoa picha Sudani kuhalalisha ujinga wao,harafu ifikie mahari vyombo vya habari vinavyorusha habari za uongo vichukuliwe sheria
Katika Shule ya Bulinga B kuna vyumba 3 vipya vimekamilika vimejengwa na Serikali kupitia Mradi wa Lipa kulingana na Matokeo (EP4R) kwa gharama ya sh. Milioni 60 za EP4R. Picha zake za majengo ya shule ni hizi hapa👇@ummymwalimu
Now more than ever, we need to be praying for wisdom on how to deal with the things that are happening in our world. Lord, please provide a hedge of your angels around us.
Mnahangaika kumlazimisha na kulazimisha awe Dictator kwa faida zenu binafsi. She's not and will not be, i believe. Her kind heart tells it precisely. Too bad!!
#UchumiKwanzaKatibaIsubiri