@MakeynovelsInc Kiwanja kimejengwa kwa 60B na kimekaa 15years bila major renovation ukija kufanya renovation lazima kipande kwasababu kina uchakavu mkubwa na material variations kutoka mwaka 2005 to leo yameongezeka kwa kiasi kikubwa. Uzembe tuu ni kwa serikali kutofanya periodic maintenance.
@PresenterNoah@George_Ambangil Ninachoogopa nacho ni over thinking ya Arteta hiyo ni mistake nyingine ya Pep hasa hasa kwenye final ile ya Chelsea na zile robo na nusu final za champions league sometimes football game should be played simple like Don carlo said
@PresenterNoah Mimi nathani ninachoogopa kwa Arsenal ni role ya xhaka kama alivyosema @George_Ambangil Kai is very good but xhaka role inabidi tufikilie mara mbili mm ninaona double pivot will be our best option labda na kumpeleka rice mbele in advanced role he is very good in carrying ball
@Dream_onlineshp@wasafifm@YoungLunya Lunya is the only one who would challenge ngwea R.I.P this another rippers they can go and do some homework ๐๐๐ this nigga is ๐ฅ
@KentuckyLiife@Jambotv_@TuliaAckson We are so different bro thinking wise leadership,country own hustle, war. We donโt think, we donโt have leaders, we are selfish including me. So lets work on that and later we should go and watch vietnam how they do it