“Tukumbuke kwamba risasi hazikuwahi kunyamazisha watu; kwani vifo huhamasisha vifo zaidi. Wenye dhamana ya kutuongoza watumie HEKIMA na kutafuta muda wa KUSIKILIZA ili tuwe na mwanzo mpya.”
“Raia wawe na uhakika wa uhai na
usalama ili kurejesha sura nzuri ya nchi yetu.Tunazidi kuwaombea majeruhi na
magonjwa wapone.”
Maskofu Katoliki Tanzania.
Kama tukiishi tunaishi katika Bwana, Na tukifa tunakufa katika Bwana.
My condolences to the lives lost, Kwa waliodhurika Kwa namna yoyote ile Mungu na awe faraja timilifu katika yote