@SharonMontana20 Yaan utafute mali na mwanaume af akaziandike jina la mama yake kwani hamna watoto?Kusomesha mke sio kosa ,kosa ni Kusomesha mchumba/mpenzi
Swala la kuolewa na hela, Anza wewe kwanza ukishakua kwenye ndoa uje u tweet tena 😄😄
Wanawake Wengi wa Hapaa mjini Ndoa Zinakuwa Ngumu kwao Japokuwa wanatamani sana Kufanya Harusi Kubwa kila Mtu Awaone.
Lakini Hawa ndio Pia Wanaendana na Maisha Ya Sasa Na Ndio wanawake ambao kila Mwanaume Anatamani Kuwaoa Lakini Mwishoni Wanashindwana Manyumbani.
Kwa Wanawake Wa Kijijini Wanakuwa wengi wameachwa na Technology na maiaha halisi Lakini Uzuri wao wana heshima wanajituma na Wana Hekima.
Vijana Tunatakiwa Kuwa makini Sana kuamua Maisha yetu Kwenye Mahusiano.
Guys eti watoto wa kiume mahari wanajitolea mfukoni mwao au wazazi ndio wanalipa? Maana natamani kubishana hapa ila siwezi, maana mimi navyojua mtoto wa kiume anajitolea jamani😂😂😂
Guys eti watoto wa kiume mahari wanajitolea mfukoni mwao au wazazi ndio wanalipa? Maana natamani kubishana hapa ila siwezi, maana mimi navyojua mtoto wa kiume anajitolea jamani😂😂😂
Wanawake wengi hawataki mapenzi tena. wanataka pesa, wanataka kupiga selfie kwenye gari kali,kula kwenye hoteli za kifahari.
Hakuna mwanamke anayetaka kujitoa kweli kwa mwanaume, kuwa mke bora na mama wa familia.
Siku hizi wengi wanapenda maisha mazuri
Elewa hili, kisha jipange
@AbroadTanzania Mpaka leo najiuliza hivi Mwinyi aliwezaje kuwa rais wa nchi? Itoshe kusema kuwa Nyerere ndiye aliyetuingiza chaka watanzania. Kama aliweza kumuweka Mkapa kwa nguvu, alishindwaje kumuweka Salim kwa nguvu? Nchi hii tunahangaika ni kwa sababu ya Nyerere.

Hii ndiyo hali halisi baada ya Graduation itakubidi uvue Joho na ushike Viatu mkononi and welcome yourself once again kupambana na Maisha ya Mtaa ambayo huna experience nayo.💔😢