@DicksonHen7900@EduTalkTz Yani waafrika bana ndio maana hatuendelei…umekaa hapa unasubiri misaada ya wazungu kwanini usiseme tusaidiane wenyewe? Walioenda mwezini wametafuta hela zao na wewe tafuta zako.
Watanzania wengi wana low iq, yaani mijitu mizima inakaa inaamini watu wanaaibiwa sehemu za siri?alafu bado watu wanajiuliza kwanini CCM ipo madarakani? Nchi nzima imejaa matahira hata wale wasomi bado matahira.
@htmshecky@mangekimambi@Jonathan_255_ Umeona kwanini namuambia usome?😂😂 kwani watu hawawezi kupoteza account zao na kufungua mpya? Kwanini huwazi kwanza kabla ya kuongea?
@htmshecky@mangekimambi@Jonathan_255_ Aisee ebu nenda ka search sababu zilizofanya Wananchi wa Iran waandamane. Afu uje hapa. Unaonekana facts zako unazitolea kwenye matako wakati vitu vipo wazi kabisa.😂😂😂