@HildaNewton21 Hapa ni misukule na michawa yenye utahira isiyoona madhara ya kinachoendelea leo! Vipi wakitangaza maandamano bila kikomo kila siku tujifungie ndani was Dar tulao vya mikoani magari yasije kuogopa maandamano tutaishi? Mwenye akili angetafuta kumaliza haya bila kutegemea silaha.
@MariaSTsehai Watawala wamekosa busara,hekima hata akili pia ni wanalazimisha kujamba mwishowe wanajinyea! Haiwezekani kuruhusu kikundi cha raia kupoka mamlaka ya polisi na kujitangaza kufanya kazi za kipolisi ukadhani kitaishia kwenye maandamano haya tuu. Polisi endelea kukaa kimya tuone.
@joeselasini Mbona hii bwana daudi musime haiongelei kama inatambuliwa na polisi au ndio wataua polisi na viongozi kwa mujibu wa taarifa yake? Atuweke wazi tuelewe.
@HecheJohn Na bado anadunda mitaani na aliyoyasema Oct 29 yalitendeka kweli sisi tunasema ipo siku ipo siku! Wakati mwingine nyie viongozi wa vyama naonaga kama mnashirikiana na hawa wauaji kutimiza uovu wao vinginevyo mungejibu mapigo kwa vitendo tuone itakavyokuwa.
@PMadeleka Kwa mujibu wa Katiba hiyohiyo katambi sio waziri sababu uchaguzi haukufanyika pili tulishaona shughuli zote za kisiasa ikiwemo mikutano ya ndani ya vyama visivyo ccm ikizuiwa kinyume cha Katiba na sheria Nionavyo itafutwe namna ya kutumia mahakama za kimataifa kupata haki nchini.
@swahilitimes Chadema mnakosea sana kwenye matamshi yenu mnapowaita hawa eti ni "viongozi wa serikali" hawa sio viongozi wa serikali ni kakundi ka wababe wanaoishi kwa amri za Hitler na ukiwapinga wakuue! Kanaona wazi kwamba bila ubabe na bunduki hakatakiwi na wananchi.