BREAKING: Taarifa za hivi punde ni kwamba, Mbunge wa Ngorongoro, Shangai, anayepinga uonevu wa serikali na Mwarabu, amekamatwa muda mfupi uliopita. Ifahamike, hii ni siku mbili kabla ya Rais Samia kukutana na Mtawala wa Dubai. Tunafuatilia kwa ukaribu na tutawajuza zaidi.
@rollymsouth Mzee mm niliwahi kutukanwa na Bajaj ilikua ni asubuhi kisa nimempa ten dah sitasahau😂😂 ila toka siku hiyo nikipanda Bajaj kama Nina ten au buku tano natoa taarifa....