@isdorykibasa@rollymsouth@JamiiForums hivi kaka wewe ni wa nchi gani watanzania hatuko hivyo kaka mtu kafa mwache apumzike ya nini umseme mtu asiye na uhai unajichumia dhambi tu. Watazania tunapoteza utu wetu kwa kuendekeza mapenzi na ubinafsi juu ya kitu huo sio Utanzania ndugu zangu kwanini tusipendane
@mshambuliaji hii rekodi haijaingizwa kwenye tovuti za tff wala za ligi, taarifa pekee iliyopo ni ngasa ndiye mfungaji bora wa mda wote katika historia ya ligi kuu bara akiwa na magoli 136
@nehemiah_masala@MarcoMzumbe dah fazaππ hatujakataa ila umeelewa alichokiuliza???, kwa long-passes messi anamzidi pirlo??? mimi naongelea overall sio kwa seasson moja, na ukiniambia messi anamzidi Pirlo kwa long-pass utakuwa hauko sawa kakaππ