#UZI
💨JE UNAJUA UNAVYOACHA FOOTPRINT ZAKO/ TAARIFA ZAKO NA NAMNA YA KUZIONDOA MTANDAONI.
Je, umewahi kujiuliza ni kwa kiasi gani umeacha alama zako mtandaoni? Kila unachofanya kwenye simu au kompyuta kinaacha Digital Footprint
Kinachotreand Sasa hivi,
Duniani,
Ni Majibizano kati ya Rais Wa Marekani Donald Trump na Rais Wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy
Wakati wanajadiliana kuhusu muafaka wa Nchi zao pamoja na vita.
Angalia Zelenskyy akijiteteta..
Video kwa Comments 👇
Katika Interview,
Aliyofanya Wiz khalifa na Shanon Sharper,
Wiz Khalifa, alienda na Bangi yenye Gharama ya $50 kwa mkunjo ambapo zimewekwa kwenye Package moja yenye mikunjo 200,
Ambapo Wiz Khalifa alisema anatumia zote kwa wiki..
Msikilize...
Video kwa Comments 👇
JINSI MIKAKATI YA RAIS SAMIA ILIVYOIMARISHA SHILINGI YA TANZANIA DHIDI YA DOLA MPAKA 2350
Mauzo ya Bidhaa Nje ya Nchi
Ongezeko la mauzo ya mazao ya kilimo kama korosho na avocado, pamoja na dhahabu, limechangia kuongezeka kwa mapato ya fedha za kigeni. Benki Kuu ya Tanzania (
Dunia ni Katili Sana..
Dunia ni katili sana kwa wanaume especially wanapokuwa wanajijenga kimaisha hasa wanaotoka kwenye familia maskini na za kawaida.
No one take them serious. Wanawake tunawachukulia kama wakosaji, na jamii haiwapi heshima yoyote — waitwa loser.
🧵 Thread.
FAHAMU NAMBA ZA MAGARI (PLATES NUMBERs) ZA TANZANIA, AINA NA MAANA ZAKE;
Thread/Uzi🧵....shuka nayo.....
Tanzania, Kama Ilivyo Kwa Mataifa Mengine Kote Duniani Kuna Utaratibu Wa Kutoa Aina Mbalimbali Za Namba Za Magari Kwa Matumizi Tofauti Na Kwa Watu, Taasisi Na Idara Tofauti.
Netflix wanakuletea Movie Mpya,
MARIA, Mama wa Yesu..
Movie hiyo inaitwa "MARY"
na inatarajiwa kuonyeshwa December 6, mwaka Huu..
Humo ndani utaona Namna Mama maria alivyopata Ujauzito na mateso aliyoyapitia..
Angalia Trailer lake...
Video kwa Comments👇
Wakati wa kwenda Kulala.
Ee Mungu wangu, pokea Roho yangu, kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo aliyesulubiwa. Ninalala ili nipumzike. Unibariki Ee Bwana , na unikinge, uniepushe na Kifo cha Ghafla na kisichotarajiwa na hatari zote.
#HurumayaMungu#RadioMariaTz
FURIOSA: A MAD MAX SAGA (Things You Need To Know Before Watching The Movie)
I know it’s been a while tangu ‘Mad Max: Fury Road’ imetoka, so baadhi yetu huenda tumeshahau matukio muhimu yaliyojiri.
Huu uzi utatukumbusha key points and moments kabla ya kuangalia ‘FURIOSA’
Siri kubwa ya kufanikiwa wafanyabiashara sio kuuza BIDHAA au HUDUMA.
Bali kinachofanya biashara ifanye vizuri ni RISK TAKING katika biashara yako unayoifanya.
Nataka tuchambue kidogo kuhusu Mahusiano ya Risk Taking na MAFANIKIO YA BIASHARA YAKO.
Sevu itakusaidia, Shuka na Uzi