A Local NGO promoting voice, inclusion and development of Youth, Girls and PWDs in Tanzania. | SRHR | Education | Livelihood | Leadership | Climate Justice.
Hivi punde X space juu ya Ushiriki wa vijana kwenye ngazi za maamuzi unatarajia kuanza.
Karibu ujiunge nasi kupitia kiunganishi hiki:https://t.co/ttHabmkeI8
#UshirikiWaVijana#WanawakeSasa
Moja ya njia muhimu ya kuhakikisha vipaumbele vya vijana vinaakisiwa kwenye mipango ya kitaifa ni kuhakikisha vijana wanashiriki kwenye meza za maamuzi, lakini je tunaanzia wapi?
Ndugu @OcheckMsuva atatuambia.
Usikose, jiunge kupitia: https://t.co/ttHabmkeI8
#UshirikiWaVijana
Kutana na jopo la wataalamu watakaoungana nasi kukujuza wewe kijana juu ya fursa za ushiriki kwenye ngazi za maamuzi.
Usikose kujiunga nasi Alhamisi hii!
Jiunge kupitia 🔗 hii: https://t.co/ttHabmkeI8
#UshirikiWaVijana#WanawakeSasa
Debaters from across the EAC region gather at @aru_university in Dar Es Salaam, Tanzania today for the 8th EAC University Students’ Debates On Regional Integration!
🇹🇿🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇸🇸🇨🇩🇰🇪🇸🇴
Asanteni sana kwa washiriki wote katika mdahalo uliomalizika hivi punde!!mada ikiwa uwekezaji kwa wanawake katika shughuli za kiuchumi .
poleni kwa changamoto pia ya kimtandao, twaweza kuendeleza majadiliano kupitia uwanja comments.
Tunapoendelea kusherehekea siku ya wanawake DUNIANI, ONG kwa kushirikiana na Let's Empower COP, chini ya uwezeshaji wa @WiLDAFTz na @voicetweetz, inakukaribisha kushiriki kwenye mdahalo hapo kesho kuanzia saa 12:00 jioni. Link 👇 https://t.co/JD9lRKRwK8
Our 100 for $100 campaign is gaining momentum. We are 17% of the way to reaching our goal. You can join the campaign to donate to non-profits working all over the continent of Africa.
Join us today and give through our Africa Giving Platform: https://t.co/pSigsg5nHf
Tunapoendelea kusherehekea siku ya wanawake duniani, ONG kwa kushirikiana na Let's Empower COP, chini ya uwezeshaji wa @WiLDAFTz na @voicetweetz, inakukaribisha kushiriki kwenye mdahalo siku ya ijumaa tarehe 22.03.204 saa 12:00 jioni. Usikose link https://t.co/oTegx0djPA
Tunapoendelea kusherehekea siku ya wanawake duniani, @okoa_new kwa kushirikiana na . Let's Empower CoP, chini ya uwezeshaji wa @wildaftz na @voicetweetz , inakukaribisha kushiriki kwenye mdahalo siku ya ijumaa 22.03.204 saa 12:00 jioni. Usikose link https://t.co/IUwbgl1otK
Tunapoendelea kusherehekea siku ya wanawake duniani, ONG kwa kushirikiana na Let's Empower COP, chini ya uwezeshaji wa @WiLDAFTz na @voicetweetz, inakukaribisha kushiriki kwenye mdahalo siku ya ijumaa tarehe 22.03.204 saa 12:00 jioni. Usikose link https://t.co/BLUMuE2BzR
Delighted to join Government, development partners, and civil society organisations at the launch of National #16DaysofActivism to end Gender Based Violence campaign, organised by @WiLDAFTz.
#OrangeTheWorld#16Days
"Privileged to have our Board Chairperson, Anabahati Mlay, represent us at the Let's Empower CoP Event which held at One Hall , Tegeta Darajani in Dar es Salaam. She shared insights on investing in women's economic empowerment for community development.
#investinginwomenwithdis
Najivunia kuwa mwanamke mwenye ulemavu, licha ya changamoto mbalimbali lakini hazinifanyi nikate tamaa.
Kaaya "mnufaika wa mafunzo na mjasiriamali kutoka shirika la Okoa New Generation.
#wekezakwawanawakewenyeulemavu
Kupitia sunrise radio Arusha, ONG kwa kushirikiana na Let's Let's Empower COP walipata nafasi yakuzungumzia uwekezaji kwa wanawake walemavu katika shughuli za kiuchumi.
#wekezakwawanawakewenyeulemavu