Kila UKISALI ombea JINA LAKO, Muombe Mungu abariki jina lako, Liitwe na Watu sahihi, Kwenye opportunities litajwe, Kwenye mabaya Liepukwe, Jina Lako likalinde vizazi vyako, Mwambie Mungu jina lako likapate Kibali, Neema na Upendeleo kwa kila atakaelisikia.. PRAY FOR YOUR NAME!!
Project A (Massive Project)
Mgao ni Tshs 203,000/= kwa kila mmoja, Ni Rollover ya siku 7 tu, Punters toka "U.U" ndio watakaotuongoza kuanzia Day 1 hadi 7.
Kiingilio mlangoni ni Tshs 2,500/= tu. Retweet kisha njoo DM ili uunganishwe kwenye group la WhatsApp la Rollover.
๐
Mtu aliyewahi kukupa fursa ya kutengeneza hata buku moja, usimsahau na hata itokee nini usimdharau.
Na ukipata nafasi inayoweza kumuingizia mwingine kipato usiifiche wala usizibe njia,
Mtaani maisha ni magumu sana- safari ya kupata mkate wa siku sio rahisi kwa majority
Nilichukua muda na kujitafakari nikagundua mahusiano yangu na Mungu yalikuwa yamepotea kwa kiwango kikubwa sana, Nikaanza kujirudisha taratibu na sasa niko karibu naye zaidi.
Nakusihi na wewe ukae chini utafakari ukigundua umekuwa mbali naye mrudie, Hakuna maisha bila MUNGU.