@Rydx_017 @__abdulazack @JayleenRickie@Balyx_@babalao__@MissChelsea1221 Yaani anachokifanya nikuwaaminisha mashabiki wa yanga kuwa sold out ni kitu ambacho impossible badala yakutumia hiyo hiyo sold out ya Simba ku encourage mashabiki wa yanga kununua ticket ye anaponda jinga kabisaa
@DullahTheking2 Kwel kabisa ndo maana sahivi bongo unaweza hamua kusikiliza michezo kwanzia saa 12 asubuhi mpaka saa Tano usiku unabadilisha tu chanel๐๐๐
@chapo255 Sema media za bongo sahivi asilimia kubwa Zinabebwa na vipind vya michezo ni kwamba wabongo tunapenda sana michezo au ubunifu hakuna kweny media kutengeneza vipind tofauti vinavyoweza pendwa na wasikilizaji?